hivi dunia ya leo pendo lipo kweli

hivi dunia ya leo pendo lipo kweli

ng'asti

Member
Joined
Apr 22, 2015
Posts
54
Reaction score
13
habari si mwanzo wa shari......ahh asalam waungwana?

hivi haya tunayo yaona mbele ya macho yetu penzi lipo kweli kuna mtu ampendae mwenzie kwa dhati?
 
habari si mwanzo wa shari......ahh asalam waungwana?

hivi haya tunayo yaona mbele ya macho yetu penzi lipo kweli kuna mtu ampendae mwenzie kwa dhati?

Mapenzi Ya Dhati Yako ULAYA Tu Na Huku UNYAMWEZINI Ni Sinema Kwa Kwenda Mbele Na Nakushauri Usipende Kupita Kiasi Utakuja Kulia.
 
Yapo mkuu. Ila binadamu wanayatafuta kwa mabavu na nguvu zao tu bila kumuomb MUNGU, kwa mwanamke atajiremb kwa vitu bandia adi uzuri wa kwa mganga ili mwanaume ategeke na mwanaume atatafuta mali pesa nying adi kwa waganga kuongez utajir il wanawake wampate bila shida mwishowe unagundua mapenz hakuna kwasabab mmetafta kwa nguv za kibinadamu bila kumshirikisha MUNGU.
 
Back
Top Bottom