wida
JF-Expert Member
- Jul 4, 2014
- 247
- 40
Nipo kimahusiano na binti mmoja mwaka wa3 sasa, kiukweli tunapendana bila matatizo,Tatizo nikwamba kuliwah tokea utata flani hali ilo pelekea wazazi kuchukizwa na sikuwa pamoja.
Mwezi ulikatika kama unavyo jua mapenzi kama mnapenda tukajikuta tumesamehe yana tukawa kitu kimoja nilimtengenezea njia hadi kuja kwa mama mzazi kumuomba radhi.
Mama yangu hakuwa na hiyana, ishu ni kwamba mama yake karudi toka mkoa na kuihitaj simu ya mwanawe hapo ndipo utata ulipo anza baada ya mama yake kumaind na kutoa maneno flani sio mazuri.
Naombeni ushauri nifanye nini ili kutatua tatizo