Mwenzenu nna tatizo, yani harufu ya kiume inanifanya nalowa chu-pi kabisa, haswa nikisalimiana na mwanamme kwa njia ya kukumbatiana.
Ile harufu ikibaki kwangu nashindwa kabisa kujizuia...
1. Wapenda kulakula, muda mfupi baada ya kumaliza kula kama familia, yeye kila umkutapo lazima anakula tena, mara nipe chai, nami huo uji wa mtoto nipe kidogo, hamna matunda humo kwenye friji...
Mwanaume niliyeachana nae ananiletea vijizawadi sasa simuelewi ananipenda au? Hivi inakuwaje ukiwa umeachana na mtu alafu bado anakuletea zawadi.
Karibuni mnishauri
NB: Njia hizi ni maelezo yangu binafsi kutokana na tafiti zangu.
Hakuna kinachouma na kujisikia vibaya kama moyo ulioumizwa kimapenzi,kwamba Mtu umpendaye sana kutoka moyoni anasitisha...
Wakuu habari,
Nimekua mfuatiliaji wa jf kama visitor tu kwa mwaka mzima, wiki iliyopita nilijiunga rasmi ili niweze ku share na nyinyi mkasa huu ulionipata wakati nahangaika na ujana...
Kweli dalili ya mvua ni mawingu mpaka muda huu simu hazipokelewi message hazijibiwi ni katika kuelekea siku ya valentine day kesho, Je nikweli kuwa siku ya wapendanao ni siku yakusalitiana, ni...
Habarini wote,
Naomba nieleweke kuwa mimi nahitaji mwanamke mmoja (sio mke) kwaajili ya kutumia pesa nilizo nazo,nina hela kwakweli na pia zitamridhisha kwa muda mrefu tu japo siwezi kusema ni...
HOME LIFE
DO - Own a dog. A dog is truly man's best friend. When things are rough, your dog will be there for you. Nothing is more trustworthy or loyal as your dog.
DON'T - Own a cat or any...
Wakuu habari zenu,
Nimeona wengi wanakuja hapa kwa ushauri na wanafanikwa nami nimeona niseme langu naweza pata ufumbuzi. Wakuu nilikuja Dar kwa mara ya kwanza kujiunga na chuo sikua nimefika...
Habari ya wakati huu wadau,
Nilikuwa katika mahusiano na binti mmoja baadae tukaachana vizuri tu. Lakini amekuwa kila mara akinitumia meseji yeye ni matusi tu, :sly:mara wewe malaya umeamkaje...
Habari za leo ndugu zangu,
Mimi ni mkazi wa Arusha ila kwa bahati nzuri nimepata kazi mkoani Singida, kutokana na ugeni napenda kupata marafiki waliopo Singida mjini, na pia wawe watu wazima...
HII NDIYO ADHABU KUBWA YA MPENZI ANAYEKUSALITI
Wanaume wengi wanapogundua kuwa wapenzi wao wanawasaliti, wanatunisha misuli kuonesha umwamba kwakuwatwanga makonde wapenzi wao au kuwafanyia...
Bungeni unapitishwa mswada wa Cyber crime.Ukisambaza picha za utupu jela na fine. So Nancy inabidi afunge tu hiyo blog no bongo certification tena.
updates
Nancy kasema blog inafungwa so watu...
Nimekaa nimejiuliza sana kwanini sina uhusiano wenye msimamo katika maisha yangu hadi nafikisha miaka 27 sasa naishia kuumizwa na kutoswa? Japo nina ajira ila sijapata jibu nimeamua kuweka mada...
Waheshimiwa wana JamiiForums,
Hususani jukwaaa hili MMU naomba kuchukua fursa hii kuwasalimu na kuwapa pole na majukumu ya kila siku, na baada ya salamu nabisha hodi katika jukwaa hili...
Mwanamke nimemtongoza kanikubalia, nikamuomba mzigo kanibania, alafu muda mwingi anaokutana na mimi anakifanya ana haraka muda mwingi utamsikia akisema 'nataka kuondoka lakini nina haraka' as if...
Wadau,
Mikoa inakoliwa Mirungi, walaji wakubwa ni vijana wa rika la kuoa. Nachelewa kusema kuwa one of the biggest biological effects of Mirungi ni kupoteza hamu ya kufanya mapenzi (low libido)...
Nimeambiwa katika maswali mwanaume anayochukizwa nalo ni hili "ulikuwa wapi" actually ukichelewa na wakati najua ratiba yako lazima nikuulize ulikuwa wapi hili swali tuliwekeje ili lisiwaudhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.