masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,556
- 20,091
Nimeambiwa katika maswali mwanaume anayochukizwa nalo ni hili "ulikuwa wapi" actually ukichelewa na wakati najua ratiba yako lazima nikuulize ulikuwa wapi hili swali tuliwekeje ili lisiwaudhi.
Lakini pia siku hizi wanaume wengi huwa na vitambi bila sababu za msingi ni njia ipi ya kumwambia mume/mpenzi kwamba afanye mazoezi kupunguza mwili na uzito?
Pia mavazi nyinyi wanaume inakua rahisi sana kutuambia usivae suruali au kimini au nguo ambayo hampendi ila nyinyi kuambiwa mnaona kama ni jambo zito sana.
Je, ni njia ipi ya kufuata ili isilete mtafaruku katika swala la kumbadilisha mume/mpenzi avae kitu unachokipenda na unachoona kitampendeza? Tujulishane juu ya hili.