Parata
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 3,090
- 693
Nimekaa nimejiuliza sana kwanini sina uhusiano wenye msimamo katika maisha yangu hadi nafikisha miaka 27 sasa naishia kuumizwa na kutoswa? Japo nina ajira ila sijapata jibu nimeamua kuweka mada hii.
Labda kuna wenzangu wanaokumbwa na maswaibu nayoyapata kwakweli naumia sana moyoni mwangu,kuna wakati nafikiri kuachana na mapenzi kabisa ila naishia kutamani kuwa nae ila mwisho wa siku ni maumivu.