Akurutogo
Senior Member
- Aug 29, 2013
- 199
- 103
1. Wapenda kulakula, muda mfupi baada ya kumaliza kula kama familia, yeye kila umkutapo lazima anakula tena, mara nipe chai, nami huo uji wa mtoto nipe kidogo, hamna matunda humo kwenye friji, mbona mimi hamjanipa embe, kanichukulie chips pale na soda, twende kwenye kitimoto n.k.. Yaani yeye anaamini katika kula tu.
Mtoto wa kiume anakula kwa wakati anamaliza anaondoka since kukaa unakulakula kutwa nzima ukishinda nyumbani watu siku hiyo ni kupika tu.
Mwanaume fata hii menu;
1. Chakula cha kushiba asubuhi kabla ya saa 3 hasa ugali wa unga usiokobolewa na mboga yako safi unayoipenda. Then fanya kazi mbalimbali za home.
2. Usile tena mchana kunywa maji tu.
3. Jioni omba uji wa ulezi kama nusu lita hivi, na matunda then kalale.
Hutakaa upate tatizo la nguvu za kiume. Achana kabisa na kubugia kila aina ya Chakula, Juice za barabarani tena masukari kibao, chips baga, waachieni wanawake vyakula vyao jamani vipi?
Note: Ratiba hii ni kama upo nyumbani kama unakwenda ofisi unaweza kuitumia siku za weekend..