IamPrince George
JF-Expert Member
- Nov 22, 2014
- 412
- 168
Habari ya wakati huu wadau,
Nilikuwa katika mahusiano na binti mmoja baadae tukaachana vizuri tu. Lakini amekuwa kila mara akinitumia meseji yeye ni matusi tu, :sly:mara wewe malaya umeamkaje, mara we malaya utakufa, akipiga simu maneno yake ni matusi tu, nimfanyeje wakati tumeshaachana.
Ushauri wenu