Nakufa kwa presha mwenzenu

Nakufa kwa presha mwenzenu

Mapengo 17

R I P
Joined
Mar 28, 2014
Posts
1,228
Reaction score
618
Kweli dalili ya mvua ni mawingu mpaka muda huu simu hazipokelewi message hazijibiwi ni katika kuelekea siku ya valentine day kesho, Je nikweli kuwa siku ya wapendanao ni siku yakusalitiana, ni siku yakuanza mahusiano mapya ni siku yakuumizana.

Ni siku yakuvunja upendo, uaminifu, ni siku yakufanya maovu au ni watu kuishia kukariri maisha kuwa siku hiyo ni siku ya mapenzi tu.

Naomba unisaidie katika hili wandugu.

cc: miss chagga, First Lady, mshana jr na wengineo wengi please naombeni mnisaidie.
 
Haha hahaha!!! teh teheeee..ngoja waje wanamalizia preparations..
 
masaa mangapi yamepita tangu uanze kumpigia, acha kujipa presha unawaza kusalitiwa tu, kama kapata matatizo mengine huko. aliwazalo mjinga.......................
 
Ni siku ya kuzidisha upendo, japo inabidi iwe kila cku ila iii ni cku ambayo unaanafasi zaiidi ya kuonyesha upendo kindanii zaiidi
 
Hapokei Cm Toka Lin Eleza, We C Mwanamke/mme Bora, Kutopokea Cm Si Kosa, Hujui Yuko Wap, Na Unaonekana N Mwepes Wa Ku2ma Msg Za Lawama Mapema, Kwa Hli Kama Usham2mia Msg Za Shtuma Itakula Kwako, Nilikua Hvo Nimeacha
 
acha ulimbukeni wewe kwani siku hiyo inatofauti gani na nyingine?ina maana ukiambia uchague kukugegedea mke wako siku ya kawaida na valentine utachagua ya kawaida?
 
1423828137497.jpg
Kuwa sehemu ya mabadiliko ifanye Valentine day kuwa Sikh ya kuwacare wale wasio na faraja upendo wala matumaini, wale wenye ukiwa na tabu za dunia hii, tusambaze upendo bila kuwa na agenda ya siri
mapengo pole sana nitafute kesho tutengeneze colabo nitakuwa na miss chagga na wengine wengi1423828137497.jpg
 
Shauri yenu kuigaiga ya Ughaibun, Valentine Day tunakwenda zetu shambaaa na swtie,
 
Muache kukariri ratiba ya wazungu
 
Back
Top Bottom