montanakamumbayi
Member
- Apr 21, 2015
- 11
- 21
Wakuu habari,
Nimekua mfuatiliaji wa jf kama visitor tu kwa mwaka mzima, wiki iliyopita nilijiunga rasmi ili niweze ku share na nyinyi mkasa huu ulionipata wakati nahangaika na ujana.
Nilipomaliza chuo moja kwa moja mama wa msichana wangu alinishika mkono nikapata kazi benki ya walala hoi katika moja ya wilaya za mkoa wa Tabora yeye alikua bosi huko kwa mda mrefu.Mwanae pia alimwingiza benki hiyo hiyo ila alipelekwa wilaya nyingine mikoa ya kaskazini huyu binti nilianza nae uhusiano tukiwa form six,
Tukaenda chuo kimoja na baada ya chuo tukapata kazi shirika moja ambayo tulitafutiwa na mama yake ila wilaya tofauti ahadi yetu ilikua ni kuoana.Time frame ni miaka mitatu ya kazi tuwe tumefunga ndoa nilipofika kwenye kituo changu cha kazi wilayani nikakutana na staff wenzangu vijana waliokua wakiishi kama miungu watu pale wilayani walichukua kila msichana wanaemtaka kwa mgongo wa benki maana iliheshimika sana.
Nami nikajiingiza kwenye life hilo katika harakati hizo nikapata binti chotara Wa kiarabu maana wilaya ile ina idadi kubwa sana ya waarabu kutokana na sababu za kihistoria. Akawa anahamisha nguo moja baada ya
nyingine kuleta kwangu hadi akahamia kabisa tukawa tunapika na kupakua hadi akabeba mimba yangu Wakati wote huo mchumba wangu wa siku zote hakua anajua kama mm naishi na Mwarabu kwangu
Kila akitaka kunitembelea mm namuwahi nasafiri naenda mimi.
Mtoto akazaliwa maisha yakaendelea, mwaka Wa tatu tangu nianze kazi na mtoto akiwa na miaka miwili kasoro. Mchumba wangu a NMB akanibana tufunge ndoa nami nikawa sina ujanja nikakubali familia zetu zikaanza maandalizi Dar es salaam ikiwa ni vikao na maandalizi mengine. Nilikua nawaza nitatumia mbinu gani kumuacha Muarabu maana hata yeye alishanibana kuhusu kufunga ndoa ya kiislam na nilimuahidi nitabadili dini kutokana na kuchanganyikiwa na penzi lake maana alikua na vitu vizito mno kwa bed.
Na mapishi hadi sasa sijaona mwingine anaeyafikia wiki mbili kabla ya harusi yangu dar wambea kazini kwangu wakamwambia Mwarabu kuwa hivi karibuni mshkaji anafunga ndoa Mwarabu akaniuliza kuhusu taarifa zile ikabidi nikubali kuwa ni kweli. Kesho yake mama yake akaniita akaniambia kama nitafunga ndoa na mwanamke mwingine basi yatakayonipata nisilaumu Kwamba nimemtumia mtoto wao na kumzalisha kisha nimwache hawatakubali
Kutokana na tension ya sakata hilo na mawazo na ili kukwepa bibi harusi mtarajiwa hasiyafahamu ya Mwarabu nikaamua ku resign on 24 hrs notes. Nikajisemea moyoni liwalo na liwe kazi nitatafuta nyingine
Nikapaki nguo zangu tayari kwa safari kesho yake.Siku ya safari asubuhi nikapaki vitu kwenye gari yangu ndogo nikamwambia Mwarabu mi naondoka alilia sana na kuniangukia miguuni nikamwambia nakuachia thamani zote za ndani nikaondoka kurudi Dar.
Kiukweli pamoja na mazuri yote ya Mwarabu na uzuri aliokua nao alikosa kigezo kimoja muhimu niliitaji kuoa mwanamke mfanya kazi, msomi mwenye future na sio mama wa nyumbani mwenye kusubiri nimletee kila kitu mfano hadi hapo Mwarabu alikua ameshaniingiza gharama kubwa sana kutokana na matumizi makubwa aliyokua nayo na familia take.
Ilifika pahala nakosa hata akiba kila pesa nikipata naleta nyumbani yalikua yamenifika shingoni kwa kweli
Siku ya harusi ndoa ikafungwa ikafuatiwa na sherehe kubwa. Usiku hotelini uume ukakataa kusimama mke wangu alinifanyia romance zote lakini wapi tukalala hivyo hivyo
Hali iliendelea hivyo kwa miezi mitatu.Nikamuona mtaalam mmoja wa kienyeji akapiga ramli akaniambia kuna Mwarabu ulikua unaishi nae ndoa kafanya hivi,Akanipa dawa bado haikusaidia kitu
Nilifikisha waganga 12 bila mafanikio.Mke wangu akaniuliza hii yote maana yake nini ikabidi nimweleze ukweli wote Wa Mwarabu
Alilia sana akasema kumbe kipindi chote hiki sikua mwaminifu na nimezaa nje yeye basi ndoa imekwisha
Hakujali muda wote tuliokaa kwenye uhusiano akatengana nami.Wakati huo tayari alishahamishwa tunaishj Dar akaamua kurudi kwao.Tulisuluhishwa bila mafanikio
Nikampigia Mwarabu akawa hapokei simu na akabadili line kabisa. Mwaka ukakatika hali ni ile ile
Mke wangu akanionea huruma akaja akaniambia ameelekezwa mtaalam mmoja Moro vijijini twende tumuone maana kujaribu sio vibaya.Tukasafiri hadi huko tukakuta ni mtu fukara na nyumba mbovu inayokaribia kuanguka hadi nikawa na hofu kama tutasaidiwa
Tukalala hapo asubuhi saa kumi alfajiri akanipeleka milimani tukiwa huko kwenye kichaka akawa anazungumza Maneno ya kiarabu akiwa na kitabu karibu masaa mawili.TukarudiAkanipa dawa za kunywa nikaharisha na kutapika irizi mbili nyeusi nikawa hoi sina nguvu kabisa wife aliogopa akamwambia jamaa wañipeleke hospital nisije nikafa pale jamaa akakataa
Tukarudi bila mafanikio wife akañipeleka kanisa moja hivi kwa miezi mitatu bado haikusaidia.Tukaacha kwenda kokote kule nikaendelea tu mambo mengine ya maisha.Hadi siku moja wife akaanza kunichezea mwili mzima maana hakukata tamaa alikua akinijaribisha kila mara.
Kitu kikainuka kwa hasira hakuamini akadandia haraka,tulilia sana kama watoto tatizo likawa limeishaHata sasa sielewi kilichoniponya maana tulijaribu kila kitu.Sijawahi kumtafuta tena Mwarabu kwa hofu
Nilisamehe na mtoto maxima. Sasa nina watoto wawili namheshimu sana huyu mwanamke ameshinda mitihani yote.
Ni mkasa wa kweli ulionipata mimi mwenyewe nime share na nyinyi kama fundisho