Za wakati huu wadau.. Hope mungu kawajalia afya njema...na wale wagonjwa mungu awasaidie mpate nafuu...
Kitambo sana kuna vitabia vimeibuka ,vinakera sana ktk mahusiano ya kimapenzi...
Kama kijana wa kileo nipo katika uhusiano na binti mmoja ambaye nilimfaham miaka 7 iliyopita nikiwa kidato cha tatu na yeye alikuwa ni mfanyakazi wa ndani na tulikua tukiishi majirani, ila katika...
Mapenzi kweli kizungumkuti,yanayonikuta yanautesa sana moyo wangu.
KUna msichana ambaye ninampenda sana toka siku nyingi na yeye aanalijua hilo,ila kila nikimueleza juu ya hisia zangu uu yake yeye...
Wadau nisaidieni kuna binti mmoja nampenda sana but ni mdogo bao 17yrs but ananisumbua sana sababu anajua nampenda nitafanyaje ili niweze kumuacha mana tuliaidiana mambo mengi sana ila ananitesa...
picha hizi zimekuwa maarufu sana recently! nimekuwa nikijiuliza sana juu ya huu mtazamo wa wadada wa siku hizi!
kwanini hasa mnafanya hivi?
sijui wanawaga nini mpaka kupiga picha kama hizi!
kila binadamu ana malengo yake katika maisha, tumetofautiana sana katika malengo yetu, kuna wengine wanapendaga malengo ya muda mfupi mda mrefu hawataki, wengine wanapenda ya mda mfupi...
Nimeona nije hapa tujadili hili..kwa wanaume
huwa tunakuwa na sauti kwa wake zetu/wapenzi kiasi kwamba
kwa mfano kama mkeo/gf anataka kutumia mkorogo unaweza kwa urahisi tu
kumpiga marufuku....au...
^^
Baba yetu umejitenga
Kama maua umefunga
Kwa Mungu ulienda
Tukiwa twakupenda
Pumzika kwa amani
Hatutakufuta moyoni
....
Tarehe ishirini na tano
Oktoba kama ilivo leo
Ni mwaka sasa huo...
Jamaa ni Mchaga na kaoa mwanamke Mhaya, mpaka sasa wana watoto watatu wakwanza yuko form 3,lakini mpaka kufika hapo Mungu anajua na ni wa kiume, yani hajui kitu kabisa kashahamishwa shule zote...
Mambo aje wadau wa jukwaa hli mko poa aisee.....! basi kama ndo hivyo miamia.......
oy hebu tushirikishane hili.... hivi unajua mapenzi ni hisia...... sasa kama ndivyo tunathubutuje kuchezea...
Mara nyingi apa jamvini wanawake wengi ambao ni mabikira wamekua wanakuja kuomba ushauri juu ya wapenzi wao wanaotaka tunda kabla ya ndoa, mara nyingi mabira hawa uomba ushauri afanyeje ili...
By Leah Gondi-Ogondi
Kenya: Irene Myangoh, a personal assistant working at a law firm in Nairobi went to an upmarket hair salon along Kenyatta Avenue, and spent more than Sh3,000 on a human hair...
Msingi mkuu wa maisha ya ndoa ni UPENDO WA DHATI wa wanandoa wenyewe.kupendana kama walivyo.Ni jukumu la kila mwanandoa kuutunza upendo huo,kupalilia ukue vema,udumu na uzae matunda.Ili upendo wa...
Mrng,i hope every one is doing fine.Yeah,i use this opportunity to put clear feelings zangu juu ya kabinti kamoja hiv,kasomi ka chuo flani hapa mitaa ya ferry,eti kila wkend huwa kananiaga kutoka...
ITV imeripoti tukio la baba wa kambo kumpiga na kumuua mtoto wake wa kambo kwa kosa la kutokusahishiwa daftari JIJINI DAR ES SALAAM,MTOTO MMOJA(mdogo wake na marehemu) AKIHOJIWA kasema marehemu...
Mapenzi ni kitendo cha ajabu sana,unaweza kufurahia na pia unaweza kujuta na kujilaumu juu ya maamuzi yako ya kujiingiza katika hichi chama cha wenye wapenzi.(CCW) kuna baadhi ya watu wanaishi...
Hii notion imewakaa sana wadada , wanawake wa siku hizi wanaviburi hao na kujidai kwamba wanataka haki sawa na kwamba tofauti yao na sisi ni jinsia tu otherwise kila kitu wanaweza fanya...
Je...
nilimdate m2 nakufall in love nae, baada yakujua kuwa nimeshikamana akadai kuwa ananipenda sana ila alishatangaza ndoa kanisan, iliniuma sana nakumwambia basi, 2liendelea kuwasiliana ila siku...
Hii kitu inaniboa sana
Usichat na jinsia tofauti tu basi kosa, akikuzoea Mara aanze I want to lick u, Mara oo umevaa nini, sijui umelalaje
Jamanyy hizi social media zimenichosha coz ya hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.