Kitendawili mapenzi..! Kwanini imekua hivi??????

Davion Delmonte Jr.

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2013
Posts
2,149
Reaction score
1,721
Kama kijana wa kileo nipo katika uhusiano na binti mmoja ambaye nilimfaham miaka 7 iliyopita nikiwa kidato cha tatu na yeye alikuwa ni mfanyakazi wa ndani na tulikua tukiishi majirani, ila katika hali ya utoto ikatokea nikawa nimevutiwa sana nae tangu wakati huo, ingawa sikumweleza wazi juu ya hisia zangu kwake maana tangu zamani nilikua na tabia ya aibu sana mbele ya wanawake. Saa, siku na miaka ikapita. Ikafika kipindi nikiwa nimemaliza kidato cha sita, siku moja huyo msichana alipita mbele ya nyumba yetu akienda kuchota maji na wakati huo nilikua tayar nimechaguliwa kuendelea na masomo yangu ya chuo kikuu jijini Dar, hivo nilikua na shauku kubwa ya japo kuongea chochote juu ya hisia zangu kwake japo nilijawa na uwoga mkubwa. Baada ya kupita nilijikuta nimemuita, huku kwa wakati huo mapigo yakinienda mbiombio pale aliponikaribia. For sure, I became hot pale pale! sikuongea chochote zaidi ya kumshika mkono na kumsifia kwamba ye ni mzuri na nikamweleza kwamba ningetaka anifanye nimkumbuke pindi nikiwa chuo. Ila kwa kuwa nlikua mgeni kwenye masuala ya ku'approach'sikuweza kumsoma saikolojia yake, akaishia kushusha pumzi kwa nguvu nikajikujikuta panic imenipanda then nikamwachia mkono. Sikua na uzoefu wowote nikajikuta binti ameondoka bila kumwambia chochote cha maana. Baada ya hapo ilinibidi niende nitoke Arusha nije Dar kwa ajili ya masomo na yeye aliacha kazi pale akaja Dar kwa ndugu yake, lakini sikuwa na mawasiliano nae tena. Mwaka jana nikiwa field, usiku mmoja ilinipigia namba ngeni na baada ya kupokea nikasikia sauti ya mwanamke na baada ya kama sekunde kumi alijitambulisha kuwa ni yule msichana, I was flabbergasted ki ukweli jinsi alivoniingia moyoni and I went crazy alivoniambia anaishi Dar maana nilijua ningekuwa naye karibu, katika maongezi ya simu ile nikagundua naye alikua akinizimia ile mbaya, so from that day ikawa kama tumekua kama wapenzi hiv. Hivo from last year mpaka sasa namtambua kama mpenzi wangu. KITU KIKUBWA KILICHONIFANYA KUFUNGUA UZI HUU KWENU NI KWAMBA, BINTI YULE ANAONEKANA KUWA NA MATUMAINI SANA NA MIMI KWAMBA UHUSIANO HUU UTAWEZA KUTENGENEZA NDOA MAKINI, ILA KWA KWELI NIMEJIKUTA NIPO KATIKA 'POLE POSITION' NA KIKUBWA NI KUHUSU SUALA LA ELIMU, BINTI YEYE ELIMU YAKE NI STD 7 MIMI NIMEMALIZA DEGREE THIS YEAR AND STILL NNA MIPANGO YA KUENDELEA KUSOMA.... HALI HII KWA KWELI INANIFANYA NAKUWA NA MAWAZO MENGI SANA NA IMEPELEKEA HATA MAWASILIANO YANGU NAYE YAMEKUA DHAIFU NA HATA NIKIONGEA NAYE NAKUWA NAKOSA FURAHA NA MAWASILIANO YAMEKUA DUNI SANA, YE KILA AKINIPIGIA ANANIAMBIA ' I mic u' ' I love u Davion', MI NAISHIA KUSEMA ASANTE WALA SIRUDISHI... ROHO INANIUMA SANA NIKISIKIA SAUTI YAKE, SIELEWI KWA KWELI "if am loosing a fair lady or what" HAPA NIPO TU WIKI NZIMA HII SIJAWASILIANA NAE, ILA KESHO NIMEPANGA NIMPIGIE, NAOMBENI USHAURI WENU WANA JAMII........ NAFIKIRI NAHITAJI KUTEGUA KITENDAWILI HIKI MAPEMA NIKIWA KIJANA, 'maana ujana maji ya moto' na maisha ya mtu hujengwa pindi akiwa kijana.... Asanteni sana wana JF, Nawapenda sana..............
 
Utoto unakusumbua tu nani alikwambia ukisoma ndo unakuwa na upendo,kujali,kutimiza majukumu n.k!!elimu ndo nini in love?
 
Kuwa na mipango ya kumuendeleza huyo bint huwezi jua pengine hakusoma kutokana na hali ya maisha nyumbani kwao . Zungumza nae akikubali kwenda shule basi msapoti. Kabla ya yote jiulize je unampenda kweli , na je yeye nae anakupenda toka moyoni au wote mnaongozwa na emotions.
 
... eti nikupe wewe! (maisha magumu mtanzania) unadhani kirahisi rahisi hivo.... motto wa Singida yule wa ukweli ile mbaya sema ndo hivyo tena!
 
Utoto unakusumbua tu nani alikwambia ukisoma ndo unakuwa na upendo,kujali,kutimiza majukumu n.k!!elimu ndo nini in love?
labda kweli mi bado ni mtoto!... lakini umetumia kigezo gani hasa kuniita mtoto au kwa sababu nimeleta mada kama hii...! lakini kumbuka hata wenye akili za kitoto wana haki zao pia
 
Kuwa na mipango ya kumuendeleza huyo bint huwezi jua pengine hakusoma kutokana na hali ya maisha nyumbani kwao . Zungumza nae akikubali kwenda shule basi msapoti. Kabla ya yote jiulize je unampenda kweli , na je yeye nae anakupenda toka moyoni au wote mnaongozwa na emotions.
.... yah! hilo la kumwendeleza nimelifikiria sana na ndo nalifanyia utafiti kwa sasa, ila ni vigumu sana kwani tayari ameshaingia twenties! ntalifkiria lakini
 
Kama kijana wa kileo nipo katika uhusiano na binti mmoja ambaye nilimfaham miaka 7 iliyopita nikiwa kidato cha tatu na yeye alikuwa ni mfanyakazi wa ndani na tulikua tukiishi majirani, ila katika hali ya utoto ikatokea nikawa nimevutiwa sana nae tangu wakati huo, ingawa sikumweleza wazi juu ya hisia zangu kwake maana tangu zamani nilikua na tabia ya aibu sana mbele ya wanawake. Saa, siku na miaka ikapita. Ikafika kipindi nikiwa nimemaliza kidato cha sita, siku moja huyo msichana alipita mbele ya nyumba yetu akienda kuchota maji na wakati huo nilikua tayar nimechaguliwa kuendelea na masomo yangu ya chuo kikuu jijini Dar, hivo nilikua na shauku kubwa ya japo kuongea chochote juu ya hisia zangu kwake japo nilijawa na uwoga mkubwa. Baada ya kupita nilijikuta nimemuita, huku kwa wakati huo mapigo yakinienda mbiombio pale aliponikaribia. For sure, I became hot pale pale! sikuongea chochote zaidi ya kumshika mkono na kumsifia kwamba ye ni mzuri na nikamweleza kwamba ningetaka anifanye nimkumbuke pindi nikiwa chuo. Ila kwa kuwa nlikua mgeni kwenye masuala ya ku'approach'sikuweza kumsoma saikolojia yake, akaishia kushusha pumzi kwa nguvu nikajikujikuta panic imenipanda then nikamwachia mkono. Sikua na uzoefu wowote nikajikuta binti ameondoka bila kumwambia chochote cha maana. Baada ya hapo ilinibidi niende nitoke Arusha nije Dar kwa ajili ya masomo na yeye aliacha kazi pale akaja Dar kwa ndugu yake, lakini sikuwa na mawasiliano nae tena. Mwaka jana nikiwa field, usiku mmoja ilinipigia namba ngeni na baada ya kupokea nikasikia sauti ya mwanamke na baada ya kama sekunde kumi alijitambulisha kuwa ni yule msichana, I was flabbergasted ki ukweli jinsi alivoniingia moyoni and I went crazy alivoniambia anaishi Dar maana nilijua ningekuwa naye karibu, katika maongezi ya simu ile nikagundua naye alikua akinizimia ile mbaya, so from that day ikawa kama tumekua kama wapenzi hiv. Hivo from last year mpaka sasa namtambua kama mpenzi wangu. KITU KIKUBWA KILICHONIFANYA KUFUNGUA UZI HUU KWENU NI KWAMBA, BINTI YULE ANAONEKANA KUWA NA MATUMAINI SANA NA MIMI KWAMBA UHUSIANO HUU UTAWEZA KUTENGENEZA NDOA MAKINI, ILA KWA KWELI NIMEJIKUTA NIPO KATIKA 'POLE POSITION' NA KIKUBWA NI KUHUSU SUALA LA ELIMU, BINTI YEYE ELIMU YAKE NI STD 7 MIMI NIMEMALIZA DEGREE THIS YEAR AND STILL NNA MIPANGO YA KUENDELEA KUSOMA.... HALI HII KWA KWELI INANIFANYA NAKUWA NA MAWAZO MENGI SANA NA IMEPELEKEA HATA MAWASILIANO YANGU NAYE YAMEKUA DHAIFU NA HATA NIKIONGEA NAYE NAKUWA NAKOSA FURAHA NA MAWASILIANO YAMEKUA DUNI SANA, YE KILA AKINIPIGIA ANANIAMBIA ' I mic u' ' I love u Davion', MI NAISHIA KUSEMA ASANTE WALA SIRUDISHI... ROHO INANIUMA SANA NIKISIKIA SAUTI YAKE, SIELEWI KWA KWELI "if am loosing a fair lady or what" HAPA NIPO TU WIKI NZIMA HII SIJAWASILIANA NAE, ILA KESHO NIMEPANGA NIMPIGIE, NAOMBENI USHAURI WENU WANA JAMII........ NAFIKIRI NAHITAJI KUTEGUA KITENDAWILI HIKI MAPEMA NIKIWA KIJANA, 'maana ujana maji ya moto' na maisha ya mtu hujengwa pindi akiwa kijana.... Asanteni sana wana JF, Nawapenda sana..............

Education differences does not change biological differences , you are still a man and she is still a woman unless wewe ni mwongo unatudanganya LOVE IS BLIND
 
.... yah! hilo la kumwendeleza nimelifikiria sana na ndo nalifanyia utafiti kwa sasa, ila ni vigumu sana kwani tayari ameshaingia twenties! ntalifkiria lakini
Mkuu hakuna ugumu wowote kwani mbona kuna shule hizi zinazofundisha elimu ya kidato cha 4 kwa miaka 2 na kidato cha 6 kwa mwaka 1 . Mbona inawezekana tu.
 
kila mtu ana mawazo yake hapa fuata moyo wako unasemje ila kumbuka si kila mwenye elimu ana maendeleo huyo wa std 7 anaweza akawa msaada mkubwa kwako kuliko wa degree unayemtaka
 
Kama kijana wa kileo nipo katika uhusiano na binti mmoja ambaye nilimfaham miaka 7 iliyopita nikiwa kidato cha tatu na yeye alikuwa ni mfanyakazi wa ndani na tulikua tukiishi majirani, ila katika hali ya utoto ikatokea nikawa nimevutiwa sana nae tangu wakati huo, ingawa sikumweleza wazi juu ya hisia zangu kwake maana tangu zamani nilikua na tabia ya aibu sana mbele ya wanawake. Saa, siku na miaka ikapita. Ikafika kipindi nikiwa nimemaliza kidato cha sita, siku moja huyo msichana alipita mbele ya nyumba yetu akienda kuchota maji na wakati huo nilikua tayar nimechaguliwa kuendelea na masomo yangu ya chuo kikuu jijini Dar, hivo nilikua na shauku kubwa ya japo kuongea chochote juu ya hisia zangu kwake japo nilijawa na uwoga mkubwa. Baada ya kupita nilijikuta nimemuita, huku kwa wakati huo mapigo yakinienda mbiombio pale aliponikaribia. For sure, I became hot pale pale! sikuongea chochote zaidi ya kumshika mkono na kumsifia kwamba ye ni mzuri na nikamweleza kwamba ningetaka anifanye nimkumbuke pindi nikiwa chuo. Ila kwa kuwa nlikua mgeni kwenye masuala ya ku'approach'sikuweza kumsoma saikolojia yake, akaishia kushusha pumzi kwa nguvu nikajikujikuta panic imenipanda then nikamwachia mkono. Sikua na uzoefu wowote nikajikuta binti ameondoka bila kumwambia chochote cha maana. Baada ya hapo ilinibidi niende nitoke Arusha nije Dar kwa ajili ya masomo na yeye aliacha kazi pale akaja Dar kwa ndugu yake, lakini sikuwa na mawasiliano nae tena. Mwaka jana nikiwa field, usiku mmoja ilinipigia namba ngeni na baada ya kupokea nikasikia sauti ya mwanamke na baada ya kama sekunde kumi alijitambulisha kuwa ni yule msichana, I was flabbergasted ki ukweli jinsi alivoniingia moyoni and I went crazy alivoniambia anaishi Dar maana nilijua ningekuwa naye karibu, katika maongezi ya simu ile nikagundua naye alikua akinizimia ile mbaya, so from that day ikawa kama tumekua kama wapenzi hiv. Hivo from last year mpaka sasa namtambua kama mpenzi wangu. KITU KIKUBWA KILICHONIFANYA KUFUNGUA UZI HUU KWENU NI KWAMBA, BINTI YULE ANAONEKANA KUWA NA MATUMAINI SANA NA MIMI KWAMBA UHUSIANO HUU UTAWEZA KUTENGENEZA NDOA MAKINI, ILA KWA KWELI NIMEJIKUTA NIPO KATIKA 'POLE POSITION' NA KIKUBWA NI KUHUSU SUALA LA ELIMU, BINTI YEYE ELIMU YAKE NI STD 7 MIMI NIMEMALIZA DEGREE THIS YEAR AND STILL NNA MIPANGO YA KUENDELEA KUSOMA.... HALI HII KWA KWELI INANIFANYA NAKUWA NA MAWAZO MENGI SANA NA IMEPELEKEA HATA MAWASILIANO YANGU NAYE YAMEKUA DHAIFU NA HATA NIKIONGEA NAYE NAKUWA NAKOSA FURAHA NA MAWASILIANO YAMEKUA DUNI SANA, YE KILA AKINIPIGIA ANANIAMBIA ' I mic u' ' I love u Davion', MI NAISHIA KUSEMA ASANTE WALA SIRUDISHI... ROHO INANIUMA SANA NIKISIKIA SAUTI YAKE, SIELEWI KWA KWELI "if am loosing a fair lady or what" HAPA NIPO TU WIKI NZIMA HII SIJAWASILIANA NAE, ILA KESHO NIMEPANGA NIMPIGIE, NAOMBENI USHAURI WENU WANA JAMII........ NAFIKIRI NAHITAJI KUTEGUA KITENDAWILI HIKI MAPEMA NIKIWA KIJANA, 'maana ujana maji ya moto' na maisha ya mtu hujengwa pindi akiwa kijana.... Asanteni sana wana JF, Nawapenda sana..............

Ninakushukuru sana kwa vocabulary ,flabbergasted.
 
Kama ana akili go ahead. Kama ni mburula achana naye. Mfanyie testing ndogo ndogo kupima uwezo wake wa kiakili. Siyo wote ambao hawajasoma hawana akili, na siyo wote waliosoma wana akili. Elimu siyo lazima iwe formal. Kuna informal education ambayo anaweza kupata na ikawasaidia.

Kuna rafiki yangu alioa mtoto wa kinyakyusa std 7 very hot. Akampeleka british council kujifunza lugha..then akampeleka kujifunza mambo ya saloon...Sasa hivi anaongea ng'eli fresh na ana saloon kubwa ya kisasa watu wanaenda kwa appointment. Happy family
 
Kumbe unataka kuoa elimu!!!? Jitahidi utafanikiwa
 
Kitu ambacho vijana wengi tunakosea katika maisha ni kuchagua mwenza anayefaa katika maisha,yan hapo tu pakienda mramba unajuta maisha yako yote..mapenzi ni hatua ya pili ya maisha,na mapenzi yana nguvu kama kifo na ndo mana ni rahisi mtu kujitoa uhai kwasababu ya penzi.

Umesoma na umekutana na wasomi wenzio ndipo ukapata changamoto hizi,kwa hapo ulipofikia unaweza ukamsoma saikolojia yake,ongea nae na umsome kwa undani zaidi..ningeshauri umsaidie kama angependa kujiendeleza kwa chochote.
 
Kama unapenda huyo binti wewe muendeleze kielimu, tena anaonekana ni mtulivu sana Then anajua maisha. Mimi niko na mifano hai kuna mdada tulikutana chuo yeye nae aliishia darasa la 7 na alikosa fursa ya kuendeleea, wazazi walifariki, Aliteseka mwisho alikuja kupata mume kanisani kwao alimuoa akamuendeleza alianza hizi za qt, hadi alifika chuo kusomea degree ya same na mumewe, na mume alikuwa anamsupport 100%, weekend anakuja kufundisha vitu coz walikuwa wanaishi mikoa tofauti, alimpa na usafiri akamkodia na nyumba alikuwa anakaa hostel na kwake hivyo alifanikiwa kumaliza degree mwaka 2012, if you really love someone , there will be no obstacles or excuses. May be hukumpenda kihivyo, yan one week bila mawasiliano huwezi kuwa serious kama humpendi set her free, usimnyanyase eti kwa vile hakusoma.
 
Kwani papuchi yake ina-test tofauti na uliowakuta chuo. Anyway, elimu ya shule ni muhimu but Kuna elimu yaa dunia pia. Kama hiyo anayo, ndio muhimu zaidi hii ya shuke anaweza akaipata muda wowote.
 
Back
Top Bottom