Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.5K
Posts
210.1K
Threads
7.5K
Posts
210.1K

JF Prefixes:

Kama kijana wa kileo nipo katika uhusiano na binti mmoja ambaye nilimfaham miaka 7 iliyopita nikiwa kidato cha tatu na yeye alikuwa ni mfanyakazi wa ndani na tulikua tukiishi majirani, ila katika...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Mapenzi kweli kizungumkuti,yanayonikuta yanautesa sana moyo wangu. KUna msichana ambaye ninampenda sana toka siku nyingi na yeye aanalijua hilo,ila kila nikimueleza juu ya hisia zangu uu yake yeye...
0 Reactions
118 Replies
9K Views
Wadau nisaidieni kuna binti mmoja nampenda sana but ni mdogo bao 17yrs but ananisumbua sana sababu anajua nampenda nitafanyaje ili niweze kumuacha mana tuliaidiana mambo mengi sana ila ananitesa...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
picha hizi zimekuwa maarufu sana recently! nimekuwa nikijiuliza sana juu ya huu mtazamo wa wadada wa siku hizi! kwanini hasa mnafanya hivi? sijui wanawaga nini mpaka kupiga picha kama hizi!
0 Reactions
65 Replies
28K Views
kila binadamu ana malengo yake katika maisha, tumetofautiana sana katika malengo yetu, kuna wengine wanapendaga malengo ya muda mfupi mda mrefu hawataki, wengine wanapenda ya mda mfupi...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Nimeona nije hapa tujadili hili..kwa wanaume huwa tunakuwa na sauti kwa wake zetu/wapenzi kiasi kwamba kwa mfano kama mkeo/gf anataka kutumia mkorogo unaweza kwa urahisi tu kumpiga marufuku....au...
7 Reactions
68 Replies
6K Views
^^ Baba yetu umejitenga Kama maua umefunga Kwa Mungu ulienda Tukiwa twakupenda Pumzika kwa amani Hatutakufuta moyoni .... Tarehe ishirini na tano Oktoba kama ilivo leo Ni mwaka sasa huo...
14 Reactions
138 Replies
8K Views
Jamaa ni Mchaga na kaoa mwanamke Mhaya, mpaka sasa wana watoto watatu wakwanza yuko form 3,lakini mpaka kufika hapo Mungu anajua na ni wa kiume, yani hajui kitu kabisa kashahamishwa shule zote...
0 Reactions
102 Replies
8K Views
Mambo aje wadau wa jukwaa hli mko poa aisee.....! basi kama ndo hivyo miamia....... oy hebu tushirikishane hili.... hivi unajua mapenzi ni hisia...... sasa kama ndivyo tunathubutuje kuchezea...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Mara nyingi apa jamvini wanawake wengi ambao ni mabikira wamekua wanakuja kuomba ushauri juu ya wapenzi wao wanaotaka tunda kabla ya ndoa, mara nyingi mabira hawa uomba ushauri afanyeje ili...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
By Leah Gondi-Ogondi Kenya: Irene Myangoh, a personal assistant working at a law firm in Nairobi went to an upmarket hair salon along Kenyatta Avenue, and spent more than Sh3,000 on a human hair...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Msingi mkuu wa maisha ya ndoa ni UPENDO WA DHATI wa wanandoa wenyewe.kupendana kama walivyo.Ni jukumu la kila mwanandoa kuutunza upendo huo,kupalilia ukue vema,udumu na uzae matunda.Ili upendo wa...
12 Reactions
74 Replies
11K Views
Mrng,i hope every one is doing fine.Yeah,i use this opportunity to put clear feelings zangu juu ya kabinti kamoja hiv,kasomi ka chuo flani hapa mitaa ya ferry,eti kila wkend huwa kananiaga kutoka...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
ITV imeripoti tukio la baba wa kambo kumpiga na kumuua mtoto wake wa kambo kwa kosa la kutokusahishiwa daftari JIJINI DAR ES SALAAM,MTOTO MMOJA(mdogo wake na marehemu) AKIHOJIWA kasema marehemu...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
pm me if you are ready to live with me!
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Mapenzi ni kitendo cha ajabu sana,unaweza kufurahia na pia unaweza kujuta na kujilaumu juu ya maamuzi yako ya kujiingiza katika hichi chama cha wenye wapenzi.(CCW) kuna baadhi ya watu wanaishi...
0 Reactions
29 Replies
8K Views
Hii notion imewakaa sana wadada , wanawake wa siku hizi wanaviburi hao na kujidai kwamba wanataka haki sawa na kwamba tofauti yao na sisi ni jinsia tu otherwise kila kitu wanaweza fanya... Je...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
nilimdate m2 nakufall in love nae, baada yakujua kuwa nimeshikamana akadai kuwa ananipenda sana ila alishatangaza ndoa kanisan, iliniuma sana nakumwambia basi, 2liendelea kuwasiliana ila siku...
3 Reactions
40 Replies
4K Views
Hii kitu inaniboa sana Usichat na jinsia tofauti tu basi kosa, akikuzoea Mara aanze I want to lick u, Mara oo umevaa nini, sijui umelalaje Jamanyy hizi social media zimenichosha coz ya hii...
1 Reactions
81 Replies
15K Views
Wanawake wengi nchini na duniani kwa ujumla wanasumbuliwa na tatizo la kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa ( LACK OF LIBIDO ) pamoja na tatizo la kutofika kileleni. Sababu zinazo changia tatizo...
0 Reactions
4 Replies
18K Views
Back
Top Bottom