Tudiscuss nini wakati ukweli upo wazi wanaume wa siku hizi mmebakia uanaume kende tu vinginevo mngevaa sketi na kupakwa wanja na lip stick(Tnagi na hapo baadhi yenu nyusi wananyoa na kujipaka carolight!)
1. Mwanaume unachuna ushaona wapi? Lazima BUZI lako la kike LIKUKALIE KICHWANI si wapenda vya bure weyee!!!!!?
2.Mwanaume unaogopa majukumu na kutunza, kukimbilia videnti na minority women!!!!!!!! Mxiuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!
3.Mwanaume unambwelambwela mpaka unaonekana huna maana yoyote katika jamiii, umebakia uanaume kende zako tu! Lazima demu wako athink like man mchezooo! Akizubaa jahazi lazima lizame atiii!!!!!!!!!!!!
IGENI MABABU ZENU! MWANAUME ALIKUWA SHUPAVU, ASIEOGOPA MAJUKUMU NA TRUE LEADER WA MWANAMKE!!!!!!!! AKITOKEA DUME LA MBEGU SKETI ZOTE KIMYAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!! HAYA MAMBO NI TRADE OFF! UKILA VYA MWANAMKE UJUE NDO UNAUZA BIRTH RIGHT YAKO YA UANAUME!!!!!!!!!!
We unazani WAKE ZA MACHACHE, ROSTI TAMU, LOWAHASA, JEIKEI ET AL WANA THINK LIKE MEN!!!!!!!!!!!!!!???? THUBUTUUUUUUUUUUUUUUU!!!!!!!!! Pale ni mwendo wa kunyenyekea ndoa majogooo hadi majogooo! Wakijamba wanaambiwa pole hubby! Pole sanaaa! Tumpigie Dr.? Maybe its something serious! Jamba wewe hoe hae kama kulala sebuleni usiku uliobaki hakujakuhusu na mkeo kulala kavaa mask! LOL!