Himidini
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 5,534
- 4,193
^^
Baba yetu umejitenga
Kama maua umefunga
Kwa Mungu ulienda
Tukiwa twakupenda
Pumzika kwa amani
Hatutakufuta moyoni
....
Tarehe ishirini na tano
Oktoba kama ilivo leo
Ni mwaka sasa huo
Machoni kwetu haupo
Pumzika kwa amani
Hatutakufuta moyoni
....
Ni mengi ulitutunuku
Mema yenye utukufu
Upendo wako udumu
Alama ulioacha i kuu
Pumzika kwa amani
Hatutakufuta moyoni
....
Wana JF kwa ujumla
Tuwafariji wenzetu
Madame B na Kijino
Wayavumilie mapito
Yawajenge kwa moyo
Kazi ya Mola haina Makosa
Hai hati Hai hati kwa Mola ni marejeo
^^
Baba yetu umejitenga
Kama maua umefunga
Kwa Mungu ulienda
Tukiwa twakupenda
Pumzika kwa amani
Hatutakufuta moyoni
....
Tarehe ishirini na tano
Oktoba kama ilivo leo
Ni mwaka sasa huo
Machoni kwetu haupo
Pumzika kwa amani
Hatutakufuta moyoni
....
Ni mengi ulitutunuku
Mema yenye utukufu
Upendo wako udumu
Alama ulioacha i kuu
Pumzika kwa amani
Hatutakufuta moyoni
....
Wana JF kwa ujumla
Tuwafariji wenzetu
Madame B na Kijino
Wayavumilie mapito
Yawajenge kwa moyo
Kazi ya Mola haina Makosa
Hai hati Hai hati kwa Mola ni marejeo
^^
Last edited by a moderator: