Sex Chat

Sex Chat

Broken soul

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2013
Posts
459
Reaction score
131
Hii kitu inaniboa sana

Usichat na jinsia tofauti tu basi kosa, akikuzoea Mara aanze I want to lick u, Mara oo umevaa nini, sijui umelalaje

Jamanyy hizi social media zimenichosha coz ya hii kitu

We kama unataka game just tell me

Tupange date

Ishu za kutiana genye zisizo na mpango sio ishu kabisaa

Who invented this sh#t???

Wanaume wengi ndo wenye tabia hii

Guys tuheshimiane kama sio Dem Wako kwann umsexchatishe??
 
me loves you soooo much 🙂🙂

Last edited by a moderator:
Hii kitu inaniboa sana

Usichat na jinsia tofauti tu basi kosa, akikuzoea Mara aanze I want to lick u, Mara oo umevaa nini, sijui umelalaje

Jamanyy hizi social media zimenichosha coz ya hii kitu

We kama unataka game just tell me

Tupange date

Ishu za kutiana genye zisizo na mpango sio ishu kabisaa

Who invented this sh#t???

Wanaume wengi ndo wenye tabia hii

Guys tuheshimiane kama sio Dem Wako kwann umsexchatishe??
mi nataka gemu saa hii hii,unasemaje?
 
Nataka demu, straightforward, nani Yuko tayari? Nina mke tusigandane please
 
Niko poa kabisa namshukuru Mungu, hapana nilikuwa naweka tu baadhi ya mazungumzo niliyoyaona kule FB ya wapendanao. Aisee tafuta muda ukaangalie Gravity, Escape plan (humu kuna ngumi za kufa mtu kama hupendi ngumi, basi cheza nayo mbali) na Captain Phillips hizi zote tatu ni bomba sana.

alaa sikujua kumbe pale ukinisemesha mie he he he!!weekend njema tu mpendwa!!niambie za kwako?
 
Niko poa kabisa namshukuru Mungu, hapana nilikuwa naweka tu baadhi ya mazungumzo niliyoyaona kule FB ya wapendanao. Aisee tafuta muda ukaangalie Gravity, Escape plan (humu kuna ngumi za kufa mtu kama hupendi ngumi, basi cheza nayo mbali) na Captain Phillips hizi zote tatu ni bomba sana.
Nimefurahi kusikia hivyo rafiki!
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Similar Discussions

Back
Top Bottom