Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.5K
Posts
209.9K
Threads
7.5K
Posts
209.9K

JF Prefixes:

Mambo vipi wadau,,,yeyote ambae anaweza kunipa kampani ya mtoko usiku huu namkaribisha....mie nipo Tabata sasa ivi Oh Yeah pub opposite na Italian nimeboreeka na sina ucngz kbs,naweza move popote...
0 Reactions
31 Replies
2K Views
Bila shaka uko poa mwamaume mwenzangu hasa wewe uliyeoa pole na majukum ya familia ndo ukubwa huo. sasa me nataka nikushirkishe mambo machache tu kuhusu familia coz mume mwema lazima uw strong...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Jamaa mmoja mitaa ya kinondoni, alikimbiwa na mke wake, watu wakamshauri aende kwa sangoma mmoja maarufu hapa jijini ili amasaidie kumrudisha mkewe. Sangoma akampa dawa...
0 Reactions
5 Replies
9K Views
msaada wenu wandugu, huyu kaka tulisoma wote o-level hakuwai kusema chochote, baadae tumepotezana kwa miaka mingi, tulivoonana tena, akawa kama amechanganyikiwa kuniona, haamini. cha kwanza...
0 Reactions
63 Replies
5K Views
Vidume tumekuwa na moyo wa kuwasaidia ma girlfriends, wetu financially hususani wanaosoma au waliokutwa na shida, tukiamini wanacount jitihada hizo, ama ndo tunatengeneza njia ili kuja kujenga...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
HELP..Leo mpenz wang kaja kuniomba msamaha..kwasababu ameniambia kwanga wik 3 zilizo pita alilala na mwanaume mwingine...anasema anajutia na anaomba msamaha..na anatishia kujiua kama nisipo...
0 Reactions
56 Replies
5K Views
Wajameni nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana nyuzi mbalimbali ktk jukwaa hili hatimaye nimechukua uamzi mgumu wa kuwa member wa chili jukwaa, ndugu zangu wanajf nipokeeni
0 Reactions
1 Replies
647 Views
Nimepatwa na utata kidogo, sina mahali pengine pa kuuliza bila kujulikana na ninaomba ushauri wa kweli. Mimi ni mama single, mwanangu ana miaka minne tu. Mimi na baba yake tuliachana kama mwaka...
0 Reactions
58 Replies
9K Views
Msaada wenu wanajamvi,nimekorofishana na mpenzi wengu,nimejaribu kumuomba msamaha ila ametia ngumu mpaka sasa hataki kupokea simu yangu,na yeye ndo chanzo chakufanya nimtukane matusi makubwa na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wengi wanadhani kuwa maharage ya mbeya ni kwa wanawake tu! lakini ukweli ni kwamba kuna wanaume ambao hunaswa kirahisi sana na wanawake, mfano wa wanaume hawa ni jamaa wa miaka 26 kumuoa...
6 Reactions
61 Replies
7K Views
BOOM BOOM POOL PARTY - PART 10 SPANISH TOWN, JAMAICA - YouTube
0 Reactions
1 Replies
736 Views
Haya haya haya leo ndo leo tunataka tujue status yako katika relationship(love),kwa kufanya hivyo tutajua kama uko aidha single,married,occupied ,hanging,no...
1 Reactions
495 Replies
23K Views
1. UKO/UPO WAPI? Huna sababu ya kuuliza hili swali. Kwani umepewa taarifa mtu kapotea? Au anataka maelekezo ya uelekeo? Ukishajua sasa unakuwa umesaidikaje? Na mwingine hata ukijaribu kulikwepa...
1 Reactions
29 Replies
7K Views
Hapa Dar ni baa gani wanapatikana mademu wazuri mchana?
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Wasalaam...Nina rafiki yangu ambaye alikuwa very bright shuleni....alipata daraja zuri sana kidato cha nne kiasi kwamba wengi tuliamini angefika mbali kimasomo..lakini mambo yameharibika baada ya...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kuna mdada mmoja nilimuuliza juu ya maeneo akiguswa/chezewa upata utamu,akanitajia kama matano,kisha akanigeuzia swali hilo kwangu,nilikuwa na jibu moja, kwamba utamu naupata wakati nakojoa tu...
0 Reactions
62 Replies
32K Views
Siku hizi dada zetu wengi wanamiliki magari. Ujio wa mabenki na utolewaji wa mikopo imewafanya dada zetu wengi kumiliki magari na hivyo kuondokana na usumbufu wa kuparamia daladala. Lakini kuna...
11 Reactions
105 Replies
9K Views
ni kwanini kumekuwako na massage centre nyingi kama saloon lakini wateja hawaonekani?hata mnapokuwa kijiweni ni nadra kumsikia rafiki akikueleza kuwa alikuwa huko
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Hii ina ubishi watoto wa kike huwasaidia wazazi wao tofauti na wa kiume,hata kama ana kipato kidogo au anafanya biashara ya ukahaba yuko radhi kile anachokipata apeleke kwa wazazi. Watoto wa...
1 Reactions
53 Replies
5K Views
Polen wadau wa MMU,jamani mwenzenu nimechoshwa na mitongozo ya watoto wa kike kwangu kila nikicheka na mtoto wa kike 2 bhas lazima ataniambia nakupenda niomba niwe mpz wako,mpaka sasa nimeamua...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom