Slave
JF-Expert Member
- Dec 6, 2010
- 5,313
- 2,657
Mapenzi ni kitendo cha ajabu sana,unaweza kufurahia na pia unaweza kujuta na kujilaumu juu ya maamuzi yako ya kujiingiza katika hichi chama cha wenye wapenzi.(CCW) kuna baadhi ya watu wanaishi kama wa falme kwa raha na anasa kutokana na kuwa wapo katika mahusiano ya kimapenzi na watu wanaowapenda nakuwafanyia lolote wahitajilo wapenzi wao watu hawa hajuti kabisa zaidi ya yote ni kula raha kwa raha zao,..
--pia kuna hawa wengine ambao wanajuta kwanini waliamua kuwa na wapenzi ambao leo hii wanaona kabisa maisha yao yameharibika kutokana na kuwa kwamba wamo ndani ya mahusiano mahusiano ambayo kila sekunde moja mbele ni mkuki moyoni inafikia hatua wanapatwa na msongo wa mawazo kitendo ambacho ni hatari sana kwa mhusika.wengine huchukua maamuzi magumu ya kujiua kwa sumu ama kujinyonga NK, hakika mapenzi yanatesa
Kuna mzee mzee mmoja aliwahi kuiacha familia yake na mali zake zoote na kwenda kuishi porini mzee huyu aliondoka na nguo mbili tu,mashamba majumba na mifugo yake yoote alimwachia huyo mke na watoto wake watatu ambao walikuwa wadogo sana. Mzee huyu anasema aliona njia sahihi kabisa ya kujitoa katika utumwa wa mapenzi ni kuiacha familia na kwenda kuishi porini anasema ni bora sana kuliko kujitoa uhai.
Kwa mateso na shida nyingi alizopata mzee huyu alioa mke na baada ya miaka kama 10 hatimae mungu alianza kumnyooshea nakupata mashamba kidogo kidogo mifugo na hata majumba (kwa sasa ni tajiri mkuwa sana)
Umaarufu ukaanza kusikika na hatimae mke wake wa kwanza na watoto wake alio waacha wakasikia haikupita hata miaka 2 watoto wake wa mke mkubwa wakamuibukia na kudai urithi huku wakimtukana Yule mke mdogo kwa madai kuwa yeye ndio chanzo cha matatizo yoote kwamba alimshawishi baba yao atelekeze familia na na kutoroka na mali zote ambazo anafaidi huyu mke mdogo maneno yalikwa makubwa sana hatimae kesi ikaenda mahakamani mzee aliieleza mahakama chanzo cha kuiacha familia yake na jinsi alivyo ondoka akiwa na nguo mbili watoto walissimama na kuieleza mahakama kuwa baba yao amechanganyikiwa hivyo wakaiomba mahakama iangalie namna yoyote inayo weza kuwapa haki ya kumwangalia mzazi wao pamoja na mali zake ..:frusty::frusty::frusty: