Maisha ya usela yamenishinda!! nahitaji mke sasa!!

Maisha ya usela yamenishinda!! nahitaji mke sasa!!

excel

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
22,463
Reaction score
17,956
1236104_613882541990342_854899588_n.jpg


pm me if you are ready to live with me!
 
tena oa mama lishe kabisa uue ndege wawili kwa jiwe moja. Yani usikubali mtu akudanganye eti walimu na manesi ndiyo wakuoa
 
mkuu wangine tuna enjoy na kuyafurahia maisha hayo ww unakimbia tena.duuuuuuuuuuu kila la kheri bana
 
Nitao pale watakapobadili ile sentensi yao "kufunga pingu za maisha"
 
Wew kaburu umefulia, maisha bongo magumu nilikuambia, pika ule kwanza
 
Back
Top Bottom