Kyooma
JF-Expert Member
- Sep 20, 2013
- 224
- 98
Mara nyingi apa jamvini wanawake wengi ambao ni mabikira wamekua wanakuja kuomba ushauri juu ya wapenzi wao wanaotaka tunda kabla ya ndoa, mara nyingi mabira hawa uomba ushauri afanyeje ili aweze kutunza bikira yake mpaka siku ya ndoa. Mabikira hawa pia huja apa wakitaka ushauri wa kunusuru mahusiano yake lakini bila kutoa tunda kwa wampenzi wao walio nao
Sasa ona majibu ya wanawake wa humu
Mdada wa 1: Anaanza kwa kumpa pole alafu anendelea mwambie huyo mpenzi wako kama anakupenda avumilie mpaka siku ya ndoa na kumwambia blah... blah... nyingi
Mdada wa 2: Endelea na msimamo wako wa kutompa , mtunzie mmeo atakaekuja kukuoa pia italeta heshima kwenye familia yenu utakapoolewa na bikira yako na blah.. blah... kibao
Mdada wa 3: Tunza bikira yako dada akiendelea kukusumbua kwa hilo hachana nae atakua hakupendi maana kama anakupeda atavumilia mpaka siku ya ndoa na blah.. blah.. nyingi
Unakuta karibia wadada wote wanamshauri mwenzao atunze hiyo bikira yake, na wengi wa washauri hao waliolewa au wapenzi wao wa sasa walikuta zishakua MITUMBA
SWALI KWENU
Hivi nyie huu ushauri mnaowapa wenzenu mlishindwa vipi kuutumia huo ushauri na kuzutunza bikira zenu mpaka siku mtakapo olewa? Au waliowatoa ndo wamewaoa? Au ndo mganga hajigangi??