nafisi yangu inachoka na maisha yangu!!!!!!!!!!!!!!

KOKWENDA

Member
Jul 3, 2011
6
3
nilimdate m2 nakufall in love nae, baada yakujua kuwa nimeshikamana akadai kuwa ananipenda sana ila alishatangaza ndoa kanisan, iliniuma sana nakumwambia basi, 2liendelea kuwasiliana ila siku zilivyoenda alizidisha upendo kwangu na kuniomba nishi nae as a 2rd wife, nilishikamana nakuwa tayari kwa hilo, alinishawishi kwa kila namna na mekwakuwa nilipenda nikakubali, ilifika kipindi akadai mke mwingine kajua basi tuishi kama marafiki nikasema okey japo niliumia sana ndan ya siku nikazoea, after 2 weeks akanitafuta akadai hamna k2 chochote alitaka 2 ajue kama kweli nampenda na ameamini yupo tayari kwalolote, me mateso niliyoyapata roho ikagoma na nilikuwa nimeishafanya maamz yakishi single maishani mwangu, alijitahidi na kujitetea nikafika ha2a yakutaka kurudiana nae, suku 2kakutana ghafula nashika simu yake nikakuta sms yam2 mwingine akidai anashukru kurudisha nafasi na upendo kama zamani, nilichoka na kuumia sana sikutaka kuoji wala kumsikiliza alipokuwa anajitetea zaidi yakunyanyuka kuondoka, akukata tamaha baada ya mwezi alikili nakuomba msamaha nakudai "we learn through mistakes" mwezi wa 3 sasa ananisumbua sana nakudai ayatajirudia tena na ctokaa nijutie maamuzi yangu!!!! binafisi nampenda sana ila roho imegoma kurudi tena, napata sana wakati mgumu, akituma text za kuomba msamaha nikisoma tu text zake naishia kulia!!!!!!!! siku alipiga simu nikadai nipo nyumbani naumwa, baada ya masaa 2 alifika kuniona nakuleta vitu vingi vyakuniongezea nguvu, alivyoondoka nilibaki tunalia. nimambo mengi napata sana wakati mgumu wa maisha yangu wapendwa! anapiga simu kila siku ila kuonana nae bado nafisi yangu imegoma. naomba ushauri wapendwa maana imenitokea kuwachukia hata wanaume wengine wote kukaa kumdate mwanaume tena roho imegoma kabisa.
 
Pole kwa yaliyokukuta mwaya.Mi naona kosa lako ni kukubali kuendelea kushikamana nae hata baada ya kukwambia ana ndoa,huoni mpaka hapo tayari ni mwanaume asiyeridhika na mmoja?Bora ukubali maumivu kwa maamuzi ambayo umechukua kwani yataisha tu siku moja tena utasahau shida zote.Kukubali kurudiana naye kutamfanya akuone dhaifu sana kwake hivyo kuendelea kukunyanyasa ikiwa ni pamoja na kudate wanawake wengine huku akijua ahata ukifahamu UTAMSAMEHE.

Ushauri wangu ni kwamba...usirudi kwake kamwe kwa sababu;
1.
 
Pole kwa yaliyokukuta mwaya.Mi naona kosa lako ni kukubali kuendelea kushikamana nae hata baada ya kukwambia ana ndoa,huoni mpaka hapo tayari ni mwanaume asiyeridhika na mmoja?Bora ukubali maumivu kwa maamuzi ambayo umechukua kwani yataisha tu siku moja tena utasahau shida zote.Kukubali kurudiana naye kutamfanya akuone dhaifu sana kwake hivyo kuendelea kukunyanyasa ikiwa ni pamoja na kudate wanawake wengine huku akijua ahata ukifahamu UTAMSAMEHE.

Ushauri wangu ni kwamba...usirudi kwake kamwe kwa sababu;
1. Ni mume wa mtu
2. Hana mapenzi ya dhati na wewe
3. Hajatulia
 
Hata usikubali kurudiana nae utajuta zaidi ya hapo. We unadhani kwa nini alikuoa kwa siri bila mkewe kujua? Na hata baada ya mkewe kujua unadhani ni kwanini alikuacha? In short hakupendi ila kakufanya we kama daladala anapanda na kushuka kila anapotaka yeye sasa we ka unakubali kuchezewa mrudie!!! Pili umeshagundua kabisa sio mwaminifu badala ushike time yako unabaki tu kulialia unapunguza uwezo wa kufikiri, after all utalia mpaka lini wakati yule ni mume wa mtu? Haya yeye ana mke wewe je? Usipoteze muda wewe panga maisha yako huyo hakufai na tena si wako.
 
Pole kwa yaliyokukuta mwaya.Mi naona kosa lako ni kukubali kuendelea kushikamana nae hata baada ya kukwambia ana ndoa,huoni mpaka hapo tayari ni mwanaume asiyeridhika na mmoja?Bora ukubali maumivu kwa maamuzi ambayo umechukua kwani yataisha tu siku moja tena utasahau shida zote.Kukubali kurudiana naye kutamfanya akuone dhaifu sana kwake hivyo kuendelea kukunyanyasa ikiwa ni pamoja na kudate wanawake wengine huku akijua ahata ukifahamu UTAMSAMEHE.

Ushauri wangu ni kwamba...usirudi kwake kamwe kwa sababu;
1. Ni mume wa mtu
2. Hana mapenzi ya dhati na wewe
3. Hajatulia

Aksante Barellina, umemaliza yote.......MWenzenu mie nadhani kichwa yangu ni mbovu hapo kwenye Red huwa nasikiaga tofauti kabisa..Mtu akijanitamkia eti nina ndoa; natakiwa kuoa; nimeletewa mchumba; nalazimishwa kumuoa mwingine....huwaga nasikiaga neno tofauti kabisa kichwani kwangu..SIKUTAKI TENA, SIKUHITAJI TENA, NIMEKUCHOKA au SIWEZIISHI NA MTU KAMA WEWE.....huwa inauma sana. So hizo chances za baby am sorry, I still love you, naomba tuwe marafiki hazipo.

Nkwenda muno.compose yourself bana, you are too young to spoil your life na hii love drama ya huyu mume wa mtu. kwanza unachelewesha bahati ya mushaija wako uliyepangiwa na MUNGU kukupata bana. Chonka iwe bwojoo!!
 
Dada pole sana..Sikupingi hata kwa sasa unapotuchukia sisi wanaume lakini umefanya jambo jema kuleta hoja yako hapa. Kumbuka.

1. Wakati unapenda unakuwa temporary chizi wa kufikiri; kuna uwezekano mkubwa wa kufanya maamuzi mabovu na ni rahisi kudanganywa.
2. Wazo la kugawana penzi yaani kuwa mke wa pili au nyumba ndogo etc kwa maisha ya sasa ni risk na kuna uwezekano kwa asilimia 95% ya kupata mateso ya roho maisha yako yote. Ushauri wangu sahau...
3. Kama ukifuta mawazo yako ya kuwa unampenda huyo bwana ni rahisi zaidi kugundua ya kuwa ulikuwa temporary chizi wa mapenzi na utaona makosa ambayo ungeweza fanya. Mshukuru Mungu kwa kukuepusha na mtego huo.
4. Usifanye maamuzi kwa jazba. Kuchukia wanaume wote ni jazba. Fanya maamuzi kwa sababu yanalipa, kama utampata mtu mwingine..hivyo ndivyo ilivyoandikwa.
 
Rafiki,embu acha kupokea simu zake,ukiona msg kama ni yake futa kabla hujasoma,jiwekee mazingira ya kutokumkumbuka.Sikulaumu lkn ulikuwa na nafasi ya kutengeneza mambo yako toka mapema,huyo mtu ni msanii hana mapenzi ya kweli.Cheers
 
Umejiendekeza mwenyewe na hizo 'feelings' zako. Yani mtu anatangaza ndoa na mtu mwingine bado anakuzingua anakupenda? huo ni unafiki wa aina gani. Hukuweza ku-reason hicho kitu?

Huyo mwanaume ni mbinafsi sana amekufanya wewe uishi atakavyo yeye ila siyo wewe utakavyo. Haya maisha unatakiwa ujipe 'priority' ndugu yangu na achana na huyo tapeli, ni kweli muda mwingine tunapenda na kujisahau au kuona kila tunachofanya ni sawa ila kumbe siyo.

Jithamini bibie na endelea na maisha yako. Kwani ulizaliwa nae? si mmekutana tu katika safari ya maisha, sasa kwa nini ushindwe kuishi bila yeye? Hakujali kabisa ana kutumia bigtime!!..Amka sasa
 
Aksante Barellina, umemaliza yote.......MWenzenu mie nadhani kichwa yangu ni mbovu hapo kwenye Red huwa nasikiaga tofauti kabisa..Mtu akijanitamkia eti nina ndoa; natakiwa kuoa; nimeletewa mchumba; nalazimishwa kumuoa mwingine....huwaga nasikiaga neno tofauti kabisa kichwani kwangu..SIKUTAKI TENA, SIKUHITAJI TENA, NIMEKUCHOKA au SIWEZIISHI NA MTU KAMA WEWE.....huwa inauma sana. So hizo chances za baby am sorry, I still love you, naomba tuwe marafiki hazipo.Nkwenda muno.compose yourself bana, you are too young to spoil your life na hii love drama ya huyu mume wa mtu. kwanza unachelewesha bahati ya mushaija wako uliyepangiwa na MUNGU kukupata bana. Chonka iwe bwojoo!!
Asante sana nshomile, umeni-encourage hata mie nisokuwa na tatizo. Yaani umelenga mulemule ambamo mi nafikiriaga.
 
Jithamini bibie na endelea na maisha yako. Kwani ulizaliwa nae? si mmekutana tu katika safari ya maisha, sasa kwa nini ushindwe kuishi bila yeye? Hakujali kabisa ana kutumia bigtime!!..Amka sasa
kweli kabisa da BJ. Kuna watu ni wazembe wa kufikiri wanasubiri mwanaume ndo aje akamilishe maisha yake kiasi kwamba hata akiachwa basi anaona ndo mwisho wake na matokeo yake ndo hayo. Ndoa inatangazwa mtu anabaki kung'ang'ania tu, jamaniii.....!
 
kwa nn unaruhusu mtu akuchezee kama mpira? Mara aupige danadana mara aweke kichwani, mara kifuani kidogo apige kiciwa kanzu nk?
Take control of your life, huyo mwanaume pia mzinzi atakusumbua
 
hebu gangamala uendelee na maisha yako.
huyo mtu huwezi kukaa nae kwani tayari ana ndoa.
fungua moyo wako upate mwenzi wako peke yako.
pole kwa masaibu yaliyokukuta.
 
Mnacheza na Mapenzi nyie, haya malizeni ushauri wote mnaoujua-mkimaliza kumshauri atafungua message ya huyo jamaa na kuisoma kwa jicho moja kama nzuri atampigia, akimaliza mautamu ataanza kulia tena...hahaha....hao ndio kizazi cha bongo fleva kama mlikua hamuwajui ndio hao sasa!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

....huyo jamaa anakutumia tu. Hana mapenzi na wewe. Tayari ameshakwambia ana mchumba/mkewe. Hiyo ni alama tosha
move on with your life. Kukwambia uwe 2nd wife/nyumba ndogo ina maana jikubalishe uwe Door mat! Yaani wewe ni utatumika iwapo nyumba kubwa kutakuwa kuna kasoro mbili tatu, zaidi ya hivyo, utabakia unahesabu boriti usiku kucha.

Ni mapenzi gani hayo ya muda maalumu? Yaani kati ka kumi jioni na nne usikju tu ndio atakuwa na muda na wewe?
huhitaji kuwa na wako wa maisha? Mbaya kuliko yote, huyo jamaa hakupi pumzi wala muda wa kutafakari nini unataka maishani. Kwanini unampa nafasi akupigie kila wakati, aje kwako wakati wowote, halafu mwisho wa yote anapoondoka ndipo nawe reality ina kick in kwamba unachezewa shere? Weye sio msukule bana, hebu badilika!

Watuchukia waume bure ilhali maamuzi ya kuchezewa maisha umejikubalisha mwenyewe.
 
kwa nn unaruhusu mtu akuchezee kama mpira? Mara aupige danadana mara aweke kichwani, mara kifuani kidogo apige kiciwa kanzu nk?
Take control of your life, huyo mwanaume pia mzinzi atakusumbua
 
Kwanza ulikubalije kuwa second best? mapenzi gani hayo hadi unashindwa kujitambua? Hebu zinduka we binti acha kulia lia ujinga. Unaemlilia mwenyewe mume wa mtu, uko sawa kweli wewe?
 
Back
Top Bottom