Kwani Yeye ni mwenye huruma na Amejaa neema na rehema tele.
Tusiwafanyie watu mambo tusiyopenda watufanyie sisi....na tuwapende jirani na adui zetu kama tunavyojipenda wenyewe....Mwenye ufahamu...
Kuna binadamu wana tatizo hili. Ni hali ambayo mtu anakuwa hayuko comfortable na jinsia aliyozaliwa nayo. Mara nyingi tatizo huanzia utotoni, unakuta mtoto wa kiume anapenda sana michezo ya kike...
Hii sio aina ya maisha niliotamani kuishi, sikutamani kua na mtoto kabla ya ndoa.
Ni hivi kuna binti nimempa ujauzito, imetokea kwa bahati akashika ujauzito, simpendi maana yake ni kwamba...
TABIA HIZI DAH..
Kiukweli kuna tabia ambazo utaongea miaka na miaka lkn MTU kubadilika au kuziacha humuwia vigumu mpk hapo ndipo baadhi ya wake huamua kuchepuka. Hatupendi kuchepuka ila Kwa haya...
Ndugu zangu wanaume wenzangu,
Mwenzenu nipo kwenye ndoa zaidi ya miaka kumi, mimi na mke wangu tumekuwa na hali ya kutoelewana na miez kama miwili nilimshaur arud nyumban akapunzike kidogo...
Habari,
Naombeni msaada kwa huyu ndugu yangu kwani huota akifanya mapenz usiku na jinsia tofauti ya kike na kiume imefikia kuna kipindi alikua akiamka anakuta kakwaruza sehemu za mwili na...
Habarini za cku nyingi wadau wa hapa jukwaa la mambo yetu, ni takribani miezi mi3 nilikuwa nachungulia kwa mbali tu yanayojiri humu ndani kutokana na kubanwa na MAJUKUMU MAZITO.....
Njooni kwny...
Kutokana na kukua kwa teknolojia, socialization imekuwa rahisi sana siku hizi.
Tofauti na zamani ambapo njia kuu ya kukutana ilikuwa physical, siku hizi njia kuu ya kukutana na watu imekuwa...
Wataalamu UKIMWI wanasema kuwa asilimia kubwa ya maambukizi ya VVU hutokana na kujamiiana/ngono huku maambukizi kwa njia nyingine kama kuchangia damu, vifaa vyenye ncha kali kama sindano na wembe...
Wadau,
Mimi ni kijana wa kiume umri miaka kati ya 25-26.Ninatafuta mchumba mwenye tabia njema na upendo wa dhati, awe na umri kati miaka 24-22.Sibagui dini wala kabilaa kwa alie tayari...
Saivi niko kwenye shida moja haikai mbili haisomi, ni takribani wiki 11 tulikua kwenye semina ya maisha ya kiroho kanisani kwetu, ambapo leo tumehitimu na kutumwa rasmi kuihubiri Injili, sa huyu...
Najua hii kila mtu imemgusa kila mtu kwa upande flani wengi wanagombana kwaajili ya whatsapp, facebook, Instagram na mingineyo, dah bado naendelea kusuluhisha mgogoro kwanza next tyme nitamalizia...
Habari zenu,
Mimi ni jinsia ya kike natafuta mchumba umri kuanzia 40yrs na kuendelea awe mwaminifu na mwelewa, mengi zaidi tutaongea ani PM kwa maelezo zaidi asiwe mume wa mtu,
Asante
This gorilla is driving Japanese women crazy
A ‪#‎gorilla‬ in ‪#‎Japan‬ is so seemingly handsome that it has got female zoo-goers head over heels in love with...
Mimi ni kijana wa umri wa kati ambaye kwa sasa nimeamua kutafuta rafiki wa kike wa kudumu ambaye kama tutaelewana atakuwa mke wa maisha yangu yote.
Nitafurahi kupata rafiki anayeishi...
Mimi ni mvulana umri wangu ni miaka 30, elimu yangu ni shahada ya uzamili katika elimu, ninaishi mkoani Mtwara.
Nahitaji mchumba mwenye sifa hizi:
1. Kabila lalote lile lakn kwa sasa awe mkazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.