Wana Jf,
Nahitaji mwanamke aliye tayari kwa ndoa. Dini na kabila sibagui. Mimi ni muislam.Umri wangu 38. Nina elimu ya shahada moja. Nakaribisha wenye umri usiovuka 33. Maswali yote yatajibiwa...
Awe wa dini na kabila lolote.Mimi muislam.Umri wangu 38.Mtumishi serikalini. Elimu yangu ya shahada moja.
Umri wake usivuke 33.
Maswali yatajibiwa PM
Karibuni
Mwanamke mfanyabiashara ndiye anahitajika kwangu,na kama upo seriously kama haupo serious hiyo namba iache usichukue.
Umri 18-22
NB: Nahitaji mpenzi lakini awe mfanyabiashara
0715152700
Najiuliza kufanya mapenzi ni kitu ambacho ni lazima kwa mwanadamu au hiari? Pia najiuliza kwa nini wanaume wanapenda tendo hilo ingawa huwasababishia kutoka jasho, kiu na mwili kupungua nguvu...
Habari wadau,
Kuna hili neno 'analeta utoto ndani ya ndoa' mara nyingi naliona kwenye kuhusisha ugomvi ndani ya ndoa kati ya mke na mume, kwa wenye uelewa wa hilo neno mambo yepi hasa yakifanywa...
Rafiki yangu Mr. Pess baada ya kusota na kazi za "below degree level" na kuona mandeleo hayaji kaamua kujiwekea kijihakiba kwa kula mihogo na maji badala ya lunch. Baada ya kuipata hela ya kutosha...
Wakuu, za saizi?
Poleni kwa majukumu.
Kuna utafiti nimekua nikiufanyia kazi kwa miezi miwili sasa. Kumbe kuna uhusiano kati ya ukubwa wa mdomo na ukubwa wa papuchi? Nlikua sijui... Binti mwenye...
Mimi ni jinsia ya me, umri wangu ni mid. 30's, I am well matured, najitambua, nasali kanisa la roman,muajiriwa, darasani pia nimehudhuria kiasi. Sio mnene sio mwembamba, am looking simple...
Habari zenu ndugu,
Natafuta mchumba wa kuoa, awe muislam mwenye iman kwa mola wake, awe na Miaka kuanzia 20-30. Kwa mawasiliano please first E-mail me throught harmarazar759@gmail.com
Habari waungwana.
Niende moja kwa moja kwenye point, zamani kidogo wanawake wengi walikua na matako (makalio) ya kawaida but siku za hivi karibuni kila mwanamke ana mkia kama wasemavyo vijana wa...
Habari washikadau,tusipoteze muda,
Kumekuwa nawimbi la wanawake wa kibongo kuolewa na wazee wa kizungu au wazee wa kibongo wenye mapesa Je wanajamvi hawa kinadada wanakua wanawapenda hao wenye...
Wanawake walio wengi wamekuwa wakitumia mbinu mbalimbali ili wapate wenzi wa maisha. Nina wasiwasi kama akina dada wanajua hasa ni kitu gani wanafuata katika ndoa. Naomba niwasilishe kilio na...
Kuna dada anapendwa sana anapenda sana mahusiano hayo yamedumu kwa miaka miwili mpaka saivi na hawajawahi kuonana. Jamani hivi kunauwezekano wa kuwa na mahusiano kwa kutumia simu?
Kwanza kabisa wasalaam wote humu ndani,
Nina miaka 26, sina mpenzi wala mchumba cha zaidi kutongoza siwezi kabisaa naishiwa swagaa. Naombeni ushauri ndugu zangu ili niiachane na huu useja...
Dawa ya wazazi aina hii ambao wanabagua sana, yaani mwanaume ukienda kujitambulisha wanakuletea vikwazo kibao ni kutia mimba kwanza binti yao.
Unaenda kujitambulisha kipindi mimba kana miezi...
Wana jamvi naomba ushauriwenu juu ya kinachonisibu.
Ni muda wa mienzi 7 sasa toka nibahatike kuwa na mpenzi wangu ambae tunatofautiana dini. Kwa kipindi chote nimekua nikimpa kampani katika...
Kuna tetesi huku mitaani kuwa msichana akiwa anapenda kuvaa nguo za kuonesha makalio yake, na kupenda kuyatingisha ovyo, kuyakuza kwa kutumia dawa za Mchina etc, ina maana kwa asilimia kubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.