Wana MMU tumrudie MUNGU

Paa

JF-Expert Member
Jun 12, 2015
1,446
2,000
Kwani Yeye ni mwenye huruma na Amejaa neema na rehema tele.
Tusiwafanyie watu mambo tusiyopenda watufanyie sisi....na tuwapende jirani na adui zetu kama tunavyojipenda wenyewe....Mwenye ufahamu ameelewa na mwenye macho amesoma.
Muwe na weekend njema.
 
ERoni

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
29,773
2,000
Kila mtu ana namna yake ya kumrudia Mungu, na sababu zake za kufanya hivyo. Wewe mrudie tu vile una sababu zako za kumrudia...
 
Paa

JF-Expert Member
Jun 12, 2015
1,446
2,000
AMEN
Ubarikiwe na ww pia.
Aaamen, ubarikiwe na bwana
Aaaaaaamen
Umeongea point. Tumrudie Mungu
MBARIKIWE SANA WAPENDWA MSISAHAU KWENDA KANDA KANISANI KESHO.

Na wewe pia mkuu
Ndio Mpendwa, kwani kuna tatizo??

ooooh! haleluyaaaaa
JINA LA BWANA LIBARIKIWE.

Kila mtu ana namna yake ya kumrudia Mungu, na sababu zake za kufanya hivyo. Wewe mrudie tu vile una sababu zako za kumrudia...
Unaonaje ukijiunga nami tukamrudia pamoja??
 
Tarime one

JF-Expert Member
Nov 12, 2013
2,249
2,000
Kwani Yeye ni mwenye huruma na Amejaa neema na rehema tele.
Tusiwafanyie watu mambo tusiyopenda watufanyie sisi....na tuwapende jirani na adui zetu kama tunavyojipenda wenyewe....Mwenye ufahamu ameelewa na mwenye macho amesoma.
Muwe na weekend njema.

Siku hizi imekua fashion kumrudia mola wakati wa matatizo,nimechunguza walokole wengi hasa akina dada hurudi makanisani wakishapatwa na majanga, mfano:Kuchelewa kupata mtoto.
Kukosa wachumba na umri unasonga.
Migogoro ya ndoa.
Uchumi kuyumba n.k.
Niwaambie neno moja nikiwamo na mimi Mungu si wa kipindi cha matatizo, always mtafute muda wote na nyakati zote za raha na shida daima atakusikiliza zaidi ya pale tupatapo shida na kuanza kukimbilia makanisani.
 
Duuh, anko nadhani umenielewa vibaya....tumepishana kimtazamo, wakati napost sikuwahi kulifikilia hilo....
 
Christine1

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
14,558
2,000
Siku hizi imekua fashion kumrudia mola wakati wa matatizo,nimechunguza walokole wengi hasa akina dada hurudi makanisani wakishapatwa na majanga, mfano:Kuchelewa kupata mtoto.
Kukosa wachumba na umri unasonga.
Migogoro ya ndoa.
Uchumi kuyumba n.k.
Niwaambie neno moja nikiwamo na mimi Mungu si wa kipindi cha matatizo, always mtafute muda wote na nyakati zote za raha na shida daima atakusikiliza zaidi ya pale tupatapo shida na kuanza kukimbilia makanisani.

Ndio wako sahihi kabisa kwasababu Yesu alisema "alikuja kuokoa roho zilizopotea"

Tena akasema
"Wenye afya hawamhitaji daktari wanaomhitaji ni walio wagonjwa,sikuja kuwaita watu wema bali wenye dhambi ili wapate kutubu".

Tena akasema," duniani mnayo dhiki lakini jipeni moyo kwamaana mimi nimeushinda ulimwengu"

Kwahiyo Yesu alikuja kwa ajili hiyo, unless kufa na kufufuka kwake kusingekuwa na maana!

Tunajua Mungu hatakiwi kufuatwa wakati wa shida tu,lkn kupitia shida ndo wengi wamemjua Mungu!

Nb:makanisa mengi hayafundishi kweli,yapo mazoea tu!
 
The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
43,862
2,000
Yaani unafanya dhambi zako peke yako
out of guilty unakuja kushauri watu wamrudie Mungu
as if unajua hao watu wako mbali na Mungu
wakati wewe unamrudia Mungu,wenzio wako na Mungu all the time
 
Ubarikiwe sana dada kwa darasa, kama akili zingekuwa nywele huyu jamaa nahisi angekua na upaa(dongo)
cc Tarime one
 
Last edited by a moderator:

Paa

JF-Expert Member
Jun 12, 2015
1,446
2,000
Yaani unafanya dhambi zako peke yako
out of guilty unakuja kushauri watu wamrudie Mungu
as if unajua hao watu wako mbali na Mungu
wakati wewe unamrudia Mungu,wenzio wako na Mungu all the time

Mbona unatoka povu mdogowangu....kama akili zingekua ni nywele basi wewe nafikiri ungekua na PARA la wembe.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom