Natumai mu wazima,
Ningependa kujua juu ya hili, ''kuoa mke mwenye matatizo mleta matatizo kwenye familia inakusababishia kuwa mwana falsafa (philosopher)".
Tujadili mada hii
Mfano rahisi kabisa ni Joseph Mbilinyi aka sugu ! Unampata mpenzi mwema kabisa mwenye adabu zote lakini kadiri mambo yanavyozidi kusonga unagundua mengi yasiyo ya kawaida na ya kukarahisha huku...
Naomba kuwauliza wanawake, hivi nyie kila mnapoingia kwenye mahusiano na mwanaume lazima mahusiano hayo yaishie kwenye ndoa?
Je hamuwezi kuingia kwenye mahusiano kama burudani tu huku...
Wakuu,
Leo nilikuwa na ishu flani nafatilia town, ikanibidi nifike ofisi za taasisi flani Duuuuh! Nilichokikuta humo mimi nimeona! Yaani watu hawanionei hata aibu mgeni wa ofisi stori wanazopiga...
Wakuu,
Je, inafaa kumuoa wifi wa shangazi yangu, yani namaanisha shangazi yangu ana mume na mume wa shangazi ana dada yake ambae tunapendana na naona ananifaa sana "wife material"
Ushauri tafadhali
Hihihihihihi! Mbona mie nalia tena mchozi ilinimwagika baada ya mpenzi wangu kuniacha wakati bado kumbe ninampenda mpaka kidume mie nachekwa eti ni udhaifu au niliwekewa binzali huku kwenye misiba...
Nashangaa sana siku hizi wanawake wengi wakiachika wanasingizia walikua wananyanyasika. Mfano ni hawa mabinti Lady JD, Frola Mbasha, Shamsa Ford nk. Siku chache kabla ya kuachika walikua...
Huyu binti nimekuwa nikimundaa vizuri tu wakati wa tendo mpaka anapizi kabla hata sijaanza kazi, cha kuashangaza kila mimi nikifika yeye anakuwa bado anahitaji tu juzi nimepiga kama goli nne gesti...
Hivi kwanini isiruhusiwe tu na serikali ya TZ, namaanisha watoe na vyeti kadhaa vya ndoa sio moja tu, tatizo hasa liko wapi?. Waislamu kila siku wanajipendelea.
Wakistro tunajibana na mke mmoja...
Habari za weekend wana Jf,
Nimebeba gunia zito la misumari, nimeombwa nitoe hela ya ada ya watoto kunusuru maisha ya mama mkwe. Mgonjwa wetu, yaani mama mkwe bado yupo hospital ila amehamishiwa...
Kwanini wanawake wanakuwa na roho ngumu kiasi hiki yaani? Chake ni chake chako cha wote, anapesa lakini atakuomba pesa, Connection love.
Duuuh! Inachosha sana jamani punguzeni.
Huna gari, hujawahi kumiliki, hufikiri hata kuja kumiliki kwa sababu huna uwezo huo au una kigari tu cha ajabuajabu, mfano vile vya mil 4.5 - 6 (mnavijua) or whatever the case.
Unatembea zako...
Wasichana wengi kuanzia miaka 19-23 sio waaminifu kwa wapenzi wao kwasababu bado huamini kuwa na uwezo wa kupata wapenzi wengine.
Wavulana between 19-23 ni waaminifu sana kwa wapenzi wao kutokana...
Kama wewe ni mwanaume au mwanamke hujaowaaa wala kuolewa na wala huna mchumba usipende kuwa na mahusiano na mwanaume au mwanamke mmoja.
Unatakiwa uwe nao kama watatu hivi na kuendelea ili mmoja...
Jamani nashindwa kuelewa haya maajabu ya akina mama wanaouza matunda na mbogamboga katika maeneo mbalimbali nchini, nimeshindwa kuwaelewa kuwa ni kwanini wanakuwa na maumbile mazuri (figa) kuliko...
We ni mwanaume umeshamcheat mkeo zaid hata ya mara kumi na manyanyaso madogo madogo ye anakuangalia tu sababu kashapigana sana...kashakuonya sana lkn unaonyesha humpendi yaani kama umemchoka...
hamna ma -lady boys,mbona tangu nakua sijawahi kuwasikia au wanafichwa??????????i would like to meet one so i can get in some new adventures.......:redface::redface::wacko:
Habari zenu wanajamii forum,
Kuna jambo ambalo nalishanagaa kidogo japo sina uhakika asilimia 100 but kwa utafiti nilikokafanya kidogo tu nimegundua wale wanawake wazuri na wenye sura na...
Hivi maisha ya mwanamke yako kwenye kuzaa? Ni kwa nini ukimpa mwanamke mimba na usimuoe wanasema umemharibia maisha, kwamba maisha yao yanategea kutozaa.
Ni kwa nini wanawake wamewekeza maisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.