Habari,
Kwa jina naitwa Carlson mwenye umri wa miaka 28, natafuta rafiki wa kike ambae tutakua na ndoto za kuoana baada ya kufahamiana. Mimi nipo chuo mwaka wa pili umri wake awe na miaka 25-28...
Kuna mwanamke nimejuana nae yapata miaka miwili tuko na mahusiano mazuri.Kwanza huyo mwanamke ana akili sana za maisha,mimi nafanya biashara fulani na yeye pia anafanya biashara.
Mimi nikasema...
Wana JF,
Nimekutana na wanaume rika ya miaka 30 to 35 wakijinadi wao ni rijali, nikawambia mmekuwa lijali wakati dunia ishakuwa mbaya tulia na mmoja tu, na mfunge nao ndoa, wao wakabisha kuwa...
Mamboz?
Nimeolewa na huyu mume tunapendana kiukweli ila mi sielewi mambo yake mawili moja simu yake hataki niishike yaani, hata kama hupo bafuni atatoka aje achukue simu yake.
Pili huwa...
Mwanamke huyu nimekuwa nimekuwa nikimshauri kuhusiana na ugonjwa wake wa kizazi unaomsumbua sana, amekuwa akinishauri pia nami kwani ninamatatizo ya madonda ya tumbo.
Tumekuwa tukuwasiliana kwa...
habari zenu wakuu
hope mmeshinda poa
kwanza kabisa ningependa tumshukuru mungu kwa kutulinda na kutupa pumzi yake mpaka hivi sasa (wote tuseme amin)
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka...
Nahitaji mwanamke wa kuoa baada ya kufanya uchunguzi walimu ndiyo wake wazuri so nahitaji kuowa mwanamke, walimu ambaye yuko tayari ani pm umri isizidi miaka 30.
Habari wakuu, natumaini mko poa.
Leo ningependa kutoa ushuhuda wangu juu ya changamoto za kupata wachumba wa mtandaoni.
Muda mrefu umepita niliwahi kutuma post ya kutafuta mchumba wa kuoa hapa...
Habari wanajamvi,
Naomba nieleze (japo kwa ufupi) tofauti iliyopo kati ya kupenda na kuonyesha mapenzi.Ni ukweli ulio wazi kuwa wanaume tulio wengi sana tunajikuta tukidanganyika kirahisi...
Habari zenu
Hili jambo limenisikitisha sana na nimeona niwashirikishe. Kuna dada nilimuona kama mwezi uliopita na nikavutiwa naye, nilijitahidi nikafahamu anapoishi na kuna siku nilienda...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25. Ninaishi Dar. Nina elimu ya chuo kikuu. Natafuta mpenzi wa kike. Sichagui kabila, dini wala rangi.
Aliye interested anipm
Wadau, hili swala nimekuwa nikilisikia mara nyingi hasa kutoka kwa wakubwa wetu kuwa mwanamke ambaye either ni mwalimu au nesi huwa wake wema, wanajua kutunza familia, wabana matumizi, na...
Habari ya weekend wadau,
Kuna kijana hapa anaangalia si te ya Jirani na anachunga ngombe za huyo Jirani. Huyu kijana ameshawapa mimba wasichana wakazi wetu watatu.
Wawili aliwakana na hatukua na...
Ndugu zangu ndoa yangu ina miaka saba na tumejaaliwa watoto wawili. Kabla ya kufunga ndoa alikuwa mtiifu na mnyenyekevu, baada ya ndoa mambo yamebadilika.
Nikirudi kazini namkuta kalala saa mbili...
Mimi ni kijana nasafiri kuja Dar Jumatano na ninatafuta dada wa Dar atakayenionyesha hilo jiji kwa sababu nitakuwepo pale kwa wiki mbili kikazi na ningependa kujua sehemu kadhaa kama vile beach...
kwa binti mrembo miaka 19 hadi 23 awe tayari kuishi swazland,, si mimi ni jamaa yangu anataka kuoa mtanzania. kama upo tayari nicheck ktk namba 0673391036
Habari za Jumapili wapendwa!
Mara nyingi wenza Hukwaruzana na kuibua hisia za maumivu. Kila mmoja huwa na njia yake ya kuzikabili HISIA zake ziwe za maumivu, mapenzi nk na hizi ndio tunazoita...
Kwanini wasichana wengi wa wapwani hasa maeneo ya Tanga wanapenda sana kutaja mahari ya fanicha? Na hasa hasa kitanda, makochi na kabati? Nini maana yake?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.