Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

mkalusanga

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2013
Posts
388
Reaction score
469
Habari zenu,

Mimi ni jinsia ya kike natafuta mchumba umri kuanzia 40yrs na kuendelea awe mwaminifu na mwelewa, mengi zaidi tutaongea ani PM kwa maelezo zaidi asiwe mume wa mtu,

Asante
 
Kabla hujafikiria kupata mume mwaminifu jiulize kwanza, wewe ni mwaminifu kiasi gani?????
 
Amanijua siwezi kuandika kitu bila uhakika mi mwaminifu ndo mana nataka mtu mwaminifu
 
Vipi mjane ana nafas katika qualification zako?
 
Mume mwema anatoka kwa Mungu binti. Sugua goti muombe Mungu atakuletea wa kwako.

Kama unajiona ni mwaminifu na unamuomba Mungu na hujapata mpaka sasa basi subiri ujue muda wako haujafika.
 
kwann umeenda moja kwa moja kwa wanaume wenye miaka 40 kwan 20 wana nini.....!!!!!!!!!!!
 
Mume mwema anatoka kwa Mungu binti. Sugua goti muombe Mungu atakuletea wa kwako.

Kama unajiona ni mwaminifu na unamuomba Mungu na hujapata mpaka sasa basi subiri ujue muda wako haujafika.

Mungu tunataka kumsingizia mambo mengi sana.
naweza kukuambia kuwa kati ya waliooana nchi hii sidhani kama kuna ambao Mungu alimuonesha mtu kama ilivyokuwa enzi za agano la kale ambapo mtu anaambiwa nenda kisimani, mwanamke atakayechota maji na kukupa ndie mkeo. na inatokea hivyo.

siku hizi tunatongozana aafu tunaanza kusema Mungu kanifunulia!!
baada ya miaka miwili mmeachana. ina maana Mungu hakuona kuwa hamuendani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom