Complex Minder
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 534
- 160
Habari,
Naombeni msaada kwa huyu ndugu yangu kwani huota akifanya mapenz usiku na jinsia tofauti ya kike na kiume imefikia kuna kipindi alikua akiamka anakuta kakwaruza sehemu za mwili na mikwaruzo hiyo hua kama makucha lakini hali hiyo ilibadilika kiasi kwamba hadi mchana huisi maumivu yakuungua bahadhi ya sehemu za mwili na baada ya maumivu kuisha hukuta sehemu ile ina mikwaruzo ya kucha na kila akiona mikwaruzo lazima usiku aote akifanya mapenzi
Hiyo hali imezidi hadi mchana akiwa kakaa huisi husingizi kwenda kulala anaota anafanya na watu anafanya nao huja na picha ya kaka zake mjomba wake yani wale ndugu wa karibu wa kiume .
Ushauri jamani na msaada pia anaejua tiba ya hili tatizo kwani anakonda sana na kupauka.