Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna tetesi huku mitaani kuwa msichana akiwa anapenda kuvaa nguo za kuonesha makalio yake, na kupenda kuyatingisha ovyo, kuyakuza kwa kutumia dawa za Mchina etc, ina maana kwa asilimia kubwa...
0 Reactions
17 Replies
10K Views
Naombeni kujua mapenzi ya kweli yanapatikana kwa njia gani au utajua vipi kuwa mwenzio anakupenda ukweli. Katika maisha haya nilipendana sana na dada mmoja nilimpenda kweli hadi siku 1 akaniambia...
1 Reactions
26 Replies
10K Views
Mimi ni binti wa miaka 25, niliwahi kuwa katika mahusiano hapo awali na kijana mmoja nilikuwa mwaminifu sana na nilimpenda sana lakini mwisho wa siku tukaachana bada yakugundua simwaminifu...
1 Reactions
102 Replies
36K Views
Habari Zenu Mabibi Na Mabwana.. Kwajina Naitwa Michael Bt Weng Wamezoea KuNiita Drizzy/mickey Pia Nina Umri Wa Miaka 23 Nimeishi Kwa Upweke Kwa Takribani Mwaka Sasa Na Hii Ilitokana Na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hii article nimeidonoa kutoka kwenye yahoo personal na kuifanyia editing kidogo ili kuifupisha isiwachoshe lakini naamini, having read it all myself, itakuwa very useful kwa wengi wetu hapa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
1. “He has a good relationship with his admirable dad” If his dad is a good husband and father and he looks up to his dad, chances are he will be like his dad. 2. “He separates himself from bad...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mimi ni kijana ntatimiza 27 mwezi may, hapo awali nimekua na mahusiano na wasichana tofauti kwa vipindi tofauti. Nilipoachana na x wangu wa mwisho mwezi September 2014 nilipanga kukaa mwaka 1 bila...
0 Reactions
57 Replies
7K Views
I'm a young man,and currently working with the biggest and famous Bank here in Tanzania. Lately, I've been thinking about the type of woman that I want to end up with one day and I think I pretty...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
I'm a young man, and currently working with the biggest and famous Bank here in Tanzania. Lately, I've been thinking about the type of woman that I want to end up with one day and I think I...
0 Reactions
86 Replies
7K Views
Najiuliza hivi wanaume wangekuwa nao wanavaa sketi je nao wangekuwa wanalaumiwa kwa kukaa ovyo(uchi)? Maana sasa inaonekana kama fashion wanawake kukaa ovyo mtu kasketi kafupi alafu kajitanua...
0 Reactions
15 Replies
7K Views
Let us keep in mind that we can’t force anyone to love us. We shouldn’t beg someone to stay when they want to leave. That’s what love is all about – freedom. However, the end of love is not the...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Majuzi nilipost kusikia maoni juu ya uamuzi wa kuvunja mji kwasababu ya mke kuwa na matumizi makubwa hivyo kunipa wakati mgumu kiuchumi. Kabla ya kupost ile thread niliifanyia backup as sms kwenye...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Hivi kuna umuhimu mwanadam kufanya tendo la ndoa? Kama una umuhim mbona wenzetu wakristo upande wa mapadri huwa hawaoi na masista huwa hawaolewi?
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari wana Jf, Kwa mujibu wa kazi yangu inanibidi nitafute mke au housegirl maana nimechoka kufanya kazi ndogondogo za nyumbani. Hii ni kutokana na kazi niliyonayo ya kitaifa, je kwa...
1 Reactions
61 Replies
7K Views
Wanajanvi, Leo nilikua najadiliana na best yangu mmoja akinitaka ushauri kuhusu mke wake kuwa msiri kwenye kipato chake cha ofisini na ndoa yake bado ina mwaka mmoja, akaniuliza mie nahandle vp...
8 Reactions
64 Replies
10K Views
Kwanza poleni kwa shughuli za kila siku za mihangaiko ya maisha. Nilikuwa na mpenzi wangu ambae nilimpenda sana na nilikuwa nae kwenye uhusiano baada ya kumaliza kidato cha nne, nilijitahidi sana...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Assalym alykum, Natafuta rafiki wa kike ambaye atakuwa mke wangu baada ya mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani. Awe Muislam, aliyeifaham Quran na mpenda dini, awe tayari kuja kuishi Dar es...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Katika maisha tunaishi wote kama ndugu,haijalishi mmetoka ukoo mmoja,familia au hata taifa moja,lakini wote tunapokutana mahali tunajikuta tukiwa kama ndugu wamoja. Nimeishi pekee kwa muda sasa...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 nahitaji mwanamke muelewa, anayejitambua na kujiheshimu umri ni miaka 20-26 kuweni serious jamani sitanii. Kwa maelezo zaidi nitext joescotner@gmail.com...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ebwana, nilikuwa na msichana mmoja tulipendana sana, lakini huyo msichana alikua na rafiki yake wa kiume marafiki kweli. Siku moja huyo rafiki yake alimwita geto sijui jamaa alikuwa na ugwadu wa...
1 Reactions
21 Replies
6K Views
Back
Top Bottom