Jamani sielewi elewi jinsia yangu!

Jamani sielewi elewi jinsia yangu!

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,650
Reaction score
21,014
Kuna binadamu wana tatizo hili. Ni hali ambayo mtu anakuwa hayuko comfortable na jinsia aliyozaliwa nayo. Mara nyingi tatizo huanzia utotoni, unakuta mtoto wa kiume anapenda sana michezo ya kike, company ya kike na hata kupendelea mavazi ya kike.

Imegundulika watu wengi wenye tatizo hili huwa wanatatizo kwenye sehemu ya ubongo inayo determine sex. Unakuta mwanaume lakini sehemu hiyo ipo kama ya mwnamke au mwanamke lakini sehemu ipo kama mwanaume.

Sababu za kijamii na kisaikolojia pia zinaweza sababisha tatizo hili lakini zaidi husababisha mtu aonekane ana tatizo. Watu wenye tatizo hili hupata taabu sana kwa kuhisi kwamba wanaishi kwenye jinsia isiyo yao na unyanyapaa wanaopata kutoka kwa jamii.

Tatizo hili huwapata sana wanaume, sababu moja ni kwamba wanawake wanaweza fanya mambo ya kiume pasiwe na tatizo ila shida zaidi mwanaume akifanya jambo la kike. Watu hawa mara nyingi hujitibu kwa kutumia vichocheo.

Mfano mwanamke mwenye tatizo hili anaweza kutumia vichocheo vya kiume ili kuzuia asiote matiti, sauti isiwe nyembamba na asitokeze makalio makubwa.

Tiba nyingine ni kufanya upasuaji wa kubadili jinsia kama uvumi uliomtokea Tyson. Pia kuna tiba za kisaikolojia zinazomsaidia mtu kuachana na mawazo kwamba amezaliwa na jinsia isiyopaswa. Ila sio watoto wote wanaoonyesha dalili za tatizo hili huwa nalo ukubwani.

Kuna kijana mmoja nahisi alikuwa na shida hii alikuwa anapenda sana kampani ya kike na mambo ya kike, baadae akawa shoga na akafariki na UKIMWI.
 
sasa hilo ulilotutakia mwisho unamaanisha nini, najishangaa hata nimekujibu thread yako
 
Mi cjwahi ona mtu acyejua jinsia yake
 
Ngoja waje wajuzi wa mambo ya mjini tuwasikilize
 
Hii ni knowledge mpya kwangu...
Ila conclusion yako....mmh!!!
 
Jambo hili nimelisikia na kulisoma huko abroad, lakin am not sure hapa Bongo!! tiba ni DINI pekee!! japo sina nyege lol.
 
nyege ni kitu muhimu sana fikiria una mke au mume hana nyege? hapo ndoa lazima itavunjika. pia hili ni neno zuri la kiswahili nimewahi lisoma kwenye kitabu cha zamani kinaitwa dunia uwanja wa fujo. kufanya tendo la ndoa kunaanza na 1.desire 2.excitement 3.plateu.4 orgasim 5. resolution.sasa desire ndo nyege yenyewe bila hiyo hakuna tendo kusipokuwana tendo ndoa ipo mshakani. kwa hiyo nimewatakieni jambo la heri sana maishani mwenu zaidi ya merry christmass na happy new year, mlitakiwa mshukuru.
 
We kijana,sasa hapo mambo ya nyege yamekujaje?mke wangu anaumwa kalazwa hospital halafu wewe unanitakia nyege zisizoisha????khaaa!
 
Nyege tena?!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mada yako ipo vululuvululu tuuu....mara jamaa kawa shoga sijui kafa na ngwengwe....ohhh mara Salama sijui sista P....yani shaghalabagala tuuu...

Halafu heading na ulichikiandika ni mbingu na ardhi...
 
Mada yako ipo vululuvululu tuuu....mara jamaa kawa shoga sijui kafa na ngwengwe....ohhh mara Salama sijui sista P....yani shaghalabagala tuuu...

Halafu heading na ulichikiandika ni mbingu na ardhi...

Jamaa hajatoa dongo kweli kwa wenzie??
 
Jambo hili nimelisikia na kulisoma huko abroad, lakin am not sure hapa Bongo!! tiba ni DINI pekee!! japo sina nyege lol.
pole sana mkuu kama hauna,ila nakuombea upate zisizoisha!
 
nyege ni kitu muhimu sana fikiria una mke au mume hana nyege? hapo ndoa lazima itavunjika. pia hili ni neno zuri la kiswahili nimewahi lisoma kwenye kitabu cha zamani kinaitwa dunia uwanja wa fujo. kufanya tendo la ndoa kunaanza na 1.desire 2.excitement 3.plateu.4 orgasim 5. resolution.sasa desire ndo nyege yenyewe bila hiyo hakuna tendo kusipokuwana tendo ndoa ipo mshakani. kwa hiyo nimewatakieni jambo la heri sana maishani mwenu zaidi ya merry christmass na happy new year, mlitakiwa mshukuru.

Ha ha ur crazy
 
Back
Top Bottom