Prince Akeem
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 886
- 382
Mtu kwa upendo wake siku ya birthday yako anakuweka kwenye whatsapp profile picha na kusindikiza na Maneno yakuvutia na mwingine anakuweka instagram na kukutakia heri ya siku ya kuzaliwa.
Kimbembe ni kwa wenzangu na mimi tuliojulia instagram uzeeni.
Birthday yake ikifika namtakia heri ya kuzaliwa inbox basi imetoka.
Sasa nakuja kushangaa ananuna eti simjali, lazima nikuweke instagram na kwenye whatsapp dp?