Waliomo katika NDOA hubakwa na kudhalilishwa-TAFITI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waliomo katika NDOA hubakwa na kudhalilishwa-TAFITI

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bajabiri, Jul 30, 2011.

1. B

Bajabiri JF-Expert Member

#1
Jul 30, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 9,755
Likes Received: 27
Trophy Points: 0
Tafit zilizofanywa na wataalama wa masuala ya afya na jamii zinadai kuwa baadhi ya wanawake waliomo katika ndoa hukumbana na kadhia ya kubakwa na wanaume zao na pia hudhalilishwa. Mkurugenzi wa Shirika lisilo la kiserikali ambalo hujishughulisha na Afya na Maendeleo ya Mtoto-(KIWOHEDE), Justa Mwaituka amesema kuwa wanawake wengi walio kwenye ndoa wananyanyaswa na waume zao kwakuwa wanalazimishwa kufanya mapenz kinyume na maumbile pamoja na kufanya kwa njia ya mdomo.

"Iringa tumekutana na wanawake ambao wamezikimbia ndoa zao kutokana na kuingiliwa kinyume na waume zao pamoja na kulazimishwa kufanya ngono kwa njia ya MDOMO"anasema Mwaituka.

Source Mwananchi.

2. Katavi

Katavi Platinum Member

#2
Jul 30, 2011
Joined: Aug 31, 2009
Messages: 39,475
Likes Received: 4,134
Trophy Points: 280
Mbona hakuna takwimu za wanaume wanaobakwa na wake zao?

3. B

Bajabiri JF-Expert Member

#3
Jul 30, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 9,755
Likes Received: 27
Trophy Points: 0
Inawezekana tafiti imeanzia hapo katavi

4. ChaterMaster

ChaterMaster JF-Expert Member

#4
Jul 30, 2011
Joined: Aug 17, 2009
Messages: 1,290
Likes Received: 409
Trophy Points: 180
hao wanaosema wanabakwa waulizwe waliolewa ili walale kitanda kimoja na mwanaume au????
hawa wanaharakati sometmz n mabogas kabisa yan ili mrad wapate kitu cha kupigia kelele tu!

"Only Absolute Truth is that there are no Absolute Truths"

5. ChaterMaster

ChaterMaster JF-Expert Member

#5
Jul 30, 2011
Joined: Aug 17, 2009
Messages: 1,290
Likes Received: 409
Trophy Points: 180
waulizwe hao wanawake walioolewa waliamua kuolewa ili kufanya sifa kulala na mwanaume kitanda kimoja mpaka wanadai et wanabakwa au ?
yan haya maanaharakat mengine shida tupu ili mrad wapate kitu cha kupigia kelele tu?  "LOVE ONLY EXIST AT FIRST TIME THE REST IS JUST NORMAL LIFE"

6. Saint Ivuga

Saint Ivuga JF-Expert Member

#6
Jul 30, 2011
Joined: Aug 21, 2008
Messages: 39,527
Likes Received: 19,947
Trophy Points: 280
huu ni utata ...ni kama vile kumshtaki teja kwa kutokuvuta madawa

7. Saint Ivuga

Saint Ivuga JF-Expert Member

#7
Jul 30, 2011
Joined: Aug 21, 2008
Messages: 39,527
Likes Received: 19,947
Trophy Points: 280
inabidi wanawake waache kukaa kimya .. wanaumizwa sana ..... siku hizi hakuan mambo ya kufich ficha tena .. njoo hata hapa JF weka keor yak o utapata msaada...

8. Katavi

Katavi Platinum Member

#8
Jul 30, 2011
Joined: Aug 31, 2009
Messages: 39,475
Likes Received: 4,134
Trophy Points: 280
ahahahaaah!! Kweli eeeh!

9. Gaga

Gaga JF-Expert Member

#9
Jul 30, 2011
Joined: Jan 6, 2011
Messages: 4,565
Likes Received: 20
Trophy Points: 135
Nina imagine mume wangu ananibakaje sipati picha,kwanza hawa waume zetu wa chapakazi mara nyingi wako hoi tunawalazimisha sie kufanya ngono

10. The Finest

The Finest JF-Expert Member

#10
Jul 30, 2011
Joined: Jul 14, 2010
Messages: 21,709
Likes Received: 44
Trophy Points: 145
Mhhhh!!! Tafiti

11. The Boss

The Boss JF-Expert Member

#11
Jul 30, 2011
Joined: Aug 18, 2009
Messages: 37,822
Likes Received: 22,468
Trophy Points: 280
Kumbe wabakaji wanachotakiwa kufanya ni kutangaza ndoa tu..
Ili wabake bila kwenda jela lol

12. Saint Ivuga

Saint Ivuga JF-Expert Member

#12
Jul 30, 2011
Joined: Aug 21, 2008
Messages: 39,527
Likes Received: 19,947
Trophy Points: 280
angalia sasa kumbe sio ndio tunabakwa......huyu aliyeleta hizi takwimu kazitoa wapi?hosteli au

13. St. Paka Mweusi

St. Paka Mweusi JF-Expert Member

#13
Jul 30, 2011
Joined: Sep 3, 2010
Messages: 5,901
Likes Received: 96
Trophy Points: 145
Wanaharakati wana shida sana.Atabakwaje?Wakati mwingine mimi nimechoka ananiambia usipokuja naenda nje sasa hapo anayebakwa ni nani?

14. doup

doup JF-Expert Member

#14
Jul 30, 2011
Joined: Feb 26, 2009
Messages: 1,172
Likes Received: 335
Trophy Points: 180
Kwenye ndoa "Kinyume na Maumbile????!!!" mi nilifikiri haya ni mambo ya uchangudoani tu. Astakafururahh!
hii kweli hatari

15. B

Bajabiri JF-Expert Member

#15
Jul 30, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 9,755
Likes Received: 27
Trophy Points: 0

haya mamabo yapo ndugu,wanawake wanadhalilika sana,hasa walio kwenye hizo NDOA,,,,,

16. Gaga

Gaga JF-Expert Member

#16
Jul 30, 2011
Joined: Jan 6, 2011
Messages: 4,565
Likes Received: 20
Trophy Points: 135

ndio maana yake kwa kweli nimebaka mara nyingi sana kwa style hii, wanawake wa home wale wanafanya kazi sana za home, waume zao wakirudi wanakuwa wako hoi na wakati mwingine wamelala hoi wanakoroma, analazimishwa ile mbaya huyu ndiye anabakwa, sie tuko ofisini tunachoka pia lakini tukirudi mapema home tunapumzika na kufanya kazi ndogondogo tunakaa kusubiria mume aje,akija yuko hoi kwa kazi na pombe juu, humuelewi pia,inabidi umbake tu,hahhahahahhhaaaaa najoke jamani

17. B

Bajabiri JF-Expert Member

#17
Jul 30, 2011
Joined: Jan 1, 2011
Messages: 9,755
Likes Received: 27
Trophy Points: 0

daaaaah

18. EMT

EMT JF-Expert Member

#18
Jul 30, 2011
Joined: Jan 13, 2010
Messages: 14,464
Likes Received: 865
Trophy Points: 280
Mh hapa utakuwa unambemenda mmeo

19. nyumba kubwa

nyumba kubwa JF-Expert Member

#19
Jul 31, 2011
Joined: Oct 8, 2010
Messages: 10,280
Likes Received: 1,725
Trophy Points: 280
Huo ubakaji mwingine naona ni mambo ya ndani ila ya kinyume na maumbile hata mimi napinga kwa nguvu zote mwanaume hata kama kakuoa kwa mali kiasi gani hana right ya kukuingilia kinyume na maumbile tena kwa staili ya kubaka. Safi sana wamama wa Iringa kama mmelipinga hilo. Shetani ashindwe na alegee.

20. M

Mwanaweja JF-Expert Member

#20
Jul 31, 2011
Joined: Feb 8, 2011
Messages: 3,576
Likes Received: 10
Trophy Points: 135
siyo vizuri kubaka lakini kama nimkeo unabakaje? hii kunajambo may be kuamua hata kumuingilia kusivyo kutokana na muuingiliano wa culture za wezetu especially USA

Loading...