Unapogundua mumeo anafanya mapenzi kinyume cha maumbile na mwanaume mwenzake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unapogundua mumeo anafanya mapenzi kinyume cha maumbile na mwanaume mwenzake

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Caroline Danzi, May 16, 2011.

 1. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #1
  May 16, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Wapendwa wadau wa JF,

  A'Aleykum/Bwana Yesu asifwe sana.

  Naomba leo tusaidiane kama great thinkers, wenye hofu na Mungu. Kama ni wewe unagundua mume wako anafanya mapenzi kinyume cha maumbile na wanaume utafanyaje? Kitendo hiki cha kinyama kimetokea kwa jirani yangu baada ya kukamata message anatuma kwa mpenzi wake wa kiume.

  Dada alichofanya alichukua namba ile akai-save kwake na kupiga. Yule kijana akakikiri kwa kusema wameanza siku nyingi na yeye ni mke wa pili wa mumewe, ni miaka 7 sasa wako pamoja wanafurahia penzi lao.

  Kibaya zaidi, mwanamke alipotishia kuondoka mumewe akamwambia apange kilicho chake aondoke hana cha kufanya nae.

  Nashindwa kuelewa kama huyu mungu tunayemdhihaki hayuko live.

  Nawakilisha.

  CD
   
 2. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #2
  May 16, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,316
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Duuh! Hii dunia hii mpaka tufike mwisho tutaona na kusikia mengi sana.
   
 3. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #3
  May 16, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  CD, hapo huna cha kufanya ni kufungasha na kujikata ukaanze maisha upya.
  siku zote mambo ya giza huwa matamu, japokuwa ni chukizo kubwa kwa muumba.
  dah, na inaonekana hii kitu sodomization ni tamu sana kwan wanaoanza huwa hawatamani tena wake zao...
   
 4. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #4
  May 16, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Mpe pole sana lakini kwanini kila kitu kutoka ng'ambo sie tunaiga? Ee Mungu pitisha mbali tamaa kama hizo moyoni mwangu. Labda nahisi wataalam wa saikolojia wana play part kumsaidia mtu kama huyu.
   
 5. Mayasa

  Mayasa JF-Expert Member

  #5
  May 16, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 587
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hatakiwi kutishia kuondoka, anatakiwa afungashe virago vyake aondoke kabisaaa.. Huyo mumewe ni SHOGA full stop! Na pengine alioa ili kuziba ushoga wake usionekane kwa jamii.. lakini kaumbuka. Au kama mke hataki kuondoka basi avumilie.
   
 6. Naloli

  Naloli JF-Expert Member

  #6
  May 16, 2011
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 416
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  AONDOKE TU HUYO MWANAMKE, kiukweli huyo mwanaume anaishi nae ili kuficha ukweli kwa watu kuwa jamaa ni BAASHA yaani linawashughulikia (majunya,mabwabwa,watoto si rizki) lakini mtu akishaanza mchezo wa kuwatafuna wanaume wenzake na kuridhika kama wanamtosheleza(ushoga) ujue hamu ya wanawake inamtoka hivyo huyo jamaa anaishi na mke mazoea tu lakini hana hisia za dhati za mapenzi kwa mkewe. Maana yeye wanaume wenzake ndio wanamvutia na kumtamanisha ndio maana mke alipotaka kuondoka kamruhusu bila shaka maana hana hamu nae wala hamthamini kama mpenziwe bali amemuweka ndani kama mtu wa kumstiri aibu ya kuwa anajihusisha na mapenzi ya jinsia moja
   
 7. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #7
  May 16, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,210
  Likes Received: 3,774
  Trophy Points: 280
  Kwanza huyo dada amshukuru mungu,hivi angeona mumewe ndiyo anayeukalia mpododo hata hamu ya kukusimulia asingekua nayo au angezimia kabisaa!! labda angejitahidi sanaa angewekwa mochwari kwa presha!
   
 8. cheusimangala

  cheusimangala JF-Expert Member

  #8
  May 16, 2011
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 2,590
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  kwa kweli mie ningeondoka,
  sitaweza tena kushiriki naye maana nitamuonea kinyaa,
  ila kwa kuwa mim nimeokoka nitamkumbusha maandiko ya Mungu yanavyosema juu ya jambo hilo na pia nitafunga kumuombea.
  Ila yangenitokea mm nadhan ningekua mgonjwa kwa muda.
   
 9. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #9
  May 17, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,654
  Trophy Points: 280
  Nimeshazimia!!!!!!
   
 10. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #10
  May 17, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  CD
  Tusimlalamikie Mungu
  Kwa maovu yetu kwani
  vingi tufanyavyo dunia hii
  Ni uchaguzi wetu...
   
 11. m

  menny terry Senior Member

  #11
  May 17, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 187
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Hivi kipi cha ajabu mambo haya yalikuwepo kabla ya yesu au mtume hakuna jipya chini ya jua yote ni ubatili mtupu..
   
 12. Mamushka

  Mamushka JF-Expert Member

  #12
  May 17, 2011
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 1,609
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hilo sio swali, ukigundua nikuondoka haraka, utaishije nafirauni. Pia mungu hausiki kabisa hapo, kwanza mungu haangaiki na ujinga huo, mungu yuko zake busy na issue muhim, aache kuwa busy nawagonjwa mahoptl wanateseka bure afikirie ushenzi huo. Huyo dada aondoke kabla hajamuudhi mungu wake bwana, mambo mengine yanatia kichefchef.
   
 13. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #13
  May 17, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Huyo dada namshauri aondoke, kuna mambo ya kuvumilia na si hili jamani khaa! Hivi utajisikiaje unapokuwa unakwenda kanisani au msikitini ilhali urudipo nyumbani unashare mapenzi na mwanaume shoga ambaye anageuza wenzake?!! Dada kiengue mapema so long as ameonesha dhahiri kwamba hakuhitaji ila usiache kumuombea coz hakuna mkamilifu ila Mungu pekee.
   
 14. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #14
  May 17, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hapo hakuna cha kuvumilia wala nini ni kuanza tu lol hilo litakuwa homosexual
   
 15. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #15
  May 17, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 737
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  KWAMBA MWISHO WA DUNIA NI TAREHE 21 MAY 2011 INALETA MAANA KIASI! Jambo kama hili mwanadada alipaswa kuripoti kwa watu wengine. Kwanza aanze na kanisani au ndugu za mwanaume ili akomeshwe.
   
 16. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #16
  May 17, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Cha kujidhalilisha ni kitu gani? kama mume ana hormones hizo acha aendelee maana hakuna cha kufatilia hapo
   
 17. r

  rachel kusia Member

  #17
  May 17, 2011
  Joined: Mar 7, 2008
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa hakika hilo ni kosa kubwa mbele ya Mwenyenzi Mungu. Ni vizuri aondoke, aweke wazi kile kilichomtoa katika nyumba yake bila kupenda, awashirikishe wazazi wa pande zote mbili awahi zake mapema. Hana dhamani yoyote hapo, ni bora ndoa hiyo ivunjwe kisheria ili aweze kuolewa na mwanaume anayetii na kuheshimu uumbaji wa Mungu. Vile vile sheria ingechukua mkondo wake ingekuwa fundisho kwa mashoga hao, kwani sio kwamba hawafahamiki bali wanafumbiwa macho tu. Nalipongeza Kanisa La Kiinjili la Kilutherai Tanzania kwa kuweka bayana kutotambua au kukubali misaada ya wazungu inayowashinikiza kukubali kuwepo na ndoa za jinsi moja. Mungu awabariki hao viongozi wetu na kuwafunulia mengine yaliyoko sirini.
   
 18. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #18
  May 17, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hata wazazi asiwaambie ni kitu cha aibu sana bora iwe siri yake for the sake of the kids involved
   
 19. r

  rachel kusia Member

  #19
  May 17, 2011
  Joined: Mar 7, 2008
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunakushukuru sana kwa kuweka topic hii kwani itawafanya wajifikirie tena juu ya maangamizi hayo ya sodoma.
   
 20. Maty

  Maty JF-Expert Member

  #20
  May 17, 2011
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 2,170
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Duh! mtihani
   
Loading...