Habari zenu wanafamilia,
Mimi nina umri 26 nasumbuliwa sana na wivu asira katika mausiano kwa girrlfriand wangu, mpaka sasa nimepitia wasichana wanane bila kudumu nao kabisa ata mwezi, sababu ni wivu asira japo na mengine ujaziliza apo.
Sasa sina msichana kwa miezi kama nane hadi kumi hivi, wala sitaki tena uchumba, naogopa wivu asira, nia yangu nijiandae kuoa nikiwa sina wivu asira.
Je, nijipange aje nisiwe wa kuacha au kuachwa kisa wivu asraa?Maana naumia sana na nimechoka kua hivi, nisije kuumiza mke wangu au watoto wangu baadae.
Msaada please,
Usinitukane wala usinipe mzaa no ni 713 123 160. au kama una
article, unitumie kwa mail angu hii: edu.pioneer76@yahoo/gmail.com
αsαητεεεεηι