award_jr Member Joined Jan 30, 2015 Posts 15 Reaction score 2 Jul 23, 2015 #1 Nini hasa kinasababisha mtoto wa kike kutoa mimba? Na sababu kuu hasa ni nini kwa mwanaume kuikataa mimba? Na nini athari za yote haya mawili?
Nini hasa kinasababisha mtoto wa kike kutoa mimba? Na sababu kuu hasa ni nini kwa mwanaume kuikataa mimba? Na nini athari za yote haya mawili?
rubii JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 14,113 Reaction score 18,744 Jul 23, 2015 #2 1. anatoa haitaki kwa wakati ule 2.Hahitaji jukumu hilo kwa wakati ule 3.Kuua vizazi na kupata dhambi Usiniulize kwanini wameipata wakati hawahitaji maana hata mimi wananishangazaga sana
1. anatoa haitaki kwa wakati ule 2.Hahitaji jukumu hilo kwa wakati ule 3.Kuua vizazi na kupata dhambi Usiniulize kwanini wameipata wakati hawahitaji maana hata mimi wananishangazaga sana
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 374,214 Reaction score 866,479 Jul 23, 2015 #3 award_jr said: Nini hasa kinasababisha mtoto wa kike kutoa mimba? Na sababu kuu hasa ni nini kwa mwanaume kuikataa mimba? Na nini athali za yote haya mawili???? Click to expand... Mwombe Mungu yasikukute halafu binti mwenyewe ni mtoto wa shule na mzazi wake ni bwana jela....majibu yote utayapata hapohapo tena bila kuibia
award_jr said: Nini hasa kinasababisha mtoto wa kike kutoa mimba? Na sababu kuu hasa ni nini kwa mwanaume kuikataa mimba? Na nini athali za yote haya mawili???? Click to expand... Mwombe Mungu yasikukute halafu binti mwenyewe ni mtoto wa shule na mzazi wake ni bwana jela....majibu yote utayapata hapohapo tena bila kuibia
Jurrasic Park JF-Expert Member Joined Sep 13, 2013 Posts 3,833 Reaction score 6,889 Jul 24, 2015 #4 nasoma tuu hiii thread sina cha kuchangia
Kaveli JF-Expert Member Joined Dec 4, 2012 Posts 5,476 Reaction score 9,016 Jul 24, 2015 #5 Kweli kabisa huna JIBU wala JAWABU kwenye hayo maswali yako? me hata siamini.