JembePoli
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 1,324
- 1,000
Habari zenu wana bodi. Natumai mko salama na mnaendelea na minyukano ya kimaisha.
Story ni ya kweli isome kwa utaratibu afu nijuze nini nifanye.
Miaka 5 iliyopita nilikuwa mjini nikiwa najitegemea baada ya miaka kadhaa ya kuondoka kijijini sikuacha kuwasiliana na rafiki zangu tuliokuwa tukicheza nao soka pale uwanja wa kijiji,wala sikuacha kuwasiliana na baadhi ya marafiki zangu wa kike na wa kiume.
2012 Rafiki yangu mkubwa aliekuwa ananipa habari nyingi Za kijijini James (sio jina lake halisi) aliniambia mambo yamekuwa magumu kijijini nikaona mshkaji sio mbaya kumshika mkono nikatuma nauli akaja mjini kazi zilikuwa ngumu lakini kwa kuwa nilikuwa na sehemu ya biashara nikamshauri awe anashinda hapo watu wanaohitaji kubebewa mizigo Yao asiwaAche ili apate hela angalau ya nguo.
Jamaa nimpambanaji haswa ndani ya mwaka akaAnzisha genge nikampa na mzigo kiasi hela awe anarudisha akishauza saivi yupo vizuri kwani nae anauza hata jumla.
Juzi nimepokea simu toka kwa moja ya marafiki zangu wa kike kijijini July (sio jina lake) akilalamika kuwa James amebadirika sana nikamuuliza kulikoni?
Akanipa story yote kuwa James ni mpenzi wake na hata kuja mjini ni mpango wao jamaa atafute ili akipata angalau uhakika wa mro tu amuite waishi na kutafuta pamoja kwani 2013 hela yote ya mazao aliyovuna alimtumia James ili aanzishie biashara kwani tayari ameshakuwa mwenyeji na anajua kiasi biashara.lakini saivi toka mwezi wa 4 hawaelewani akimpigia simu mara ni busy mara atulie atampigia zinapita siku 2 au 3 jamaa hajapiga.
Nikamuahidi nitaongea nae wala asijari.
Jana nimeongea na mshkaji (James )
Jamaa kwanza kakubali kuwa kweli July ni mpenzi wake lakini anadai saivi Hana mpango nae, nikauliza vp kuhusu hela ya mtaji aliyukupa?
Bila Woga mshkaji anadai anampango wa kurudi bush na akamkabidhi mara 5 ya ile pesa aliyompa ila kuhusu kumuoa hakuna kitu kama hicho kwani tayari anae mpenzi ambae anategemea mwakani amuoe,Usiku wa jana nimemjulisha juliy kila kitu akaniambia anashukuru kwa taharifa na wala hakupaniki (nadhani kwa sababu ya misuguano Yao waliyokuwa nayo muda mrefu) alilitegemea hilo.
Leo jioni Juliy amekuja toka kijijini na ananiomba nimpereke kwa James.
Nilichomwambia siwezi kufanya hivyo ila nimempigia mshkaji kaniambia nisimpeleke kwake ila tuonane maeneo yetu ya kujidai ikibidi niende nae..
Kaniomba pia Alale kwangu (amepanga upande) lakini vyumba vingine amefanya stoo ya mzigo wa duka,na demu wake huwa anaibuka mda wowote.
Lakini pia leo ndio ameamua amrudishie hela yake sasa anahisi hata akienda kulala nyumba za wageni anaweza kuibiwa hela ikawa tatizo tena.
Nikiri tu binti hajapaniki...anajiamini hata ongea yake sio kama ya mtu alie kwenye matatizo.
Sasa jamani naombeni kujua jamaa kafanya fear kweli?