Natafuta mwanamke wa kupiga naye story

Natafuta mwanamke wa kupiga naye story

Banjobege

Member
Joined
May 28, 2015
Posts
35
Reaction score
4
Mimi ni mtumishi serikalini nipo Mwanza, lonely familia yangu ipo Mbeya natafuta rafiki wa story na kubadilishana mawazo kushare lonely experience.Interested PM
 
Ghwa kukajha muulile unkasigo aka smartphone mwee uchatigi nagwe!
 
Unadhalilisha serikali yako kwa kuaajil watu vilaza kama wewe,
Study shows that binadam never sastified,hata kama ungekua na utajiri kiasi gan si rahis kwa binadamu mwenye akili timamu kupoteza muda
 
Hata deck huna? iyo hela ya kununua bando kanunue movie uangalie! au hata magazeti! or else activate madem wako wote wa zaman anza kupiga nao story am sure utastuka asubuhi imefika!
 
Kwa nini usipige story na familia yako, tena haswa mkeo. Unajaribu zali la mchepuko siyo. Ngoja uje ugongane na mke wako hapa jamaiiforums muanze kutongozana upya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom