Mtanzanika
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,389
- 1,131
Mtu anapopatwa na maumivu ya mapenzi ama msiba ni kipi hasa humuuma kati ya roho na moyo?Maana utamsikia mtu akisema roho inaniuma sana au moyo unaniuma sana. Mimi nikijaribu kuyafikiria maumivu ya namna hiyo nashindwa kupata jibu sahihi kama kile kiumacho ni kipi kati ya hivyo viwili.
Thread ya namna hii nilipata kuisoma humu Jf lakini mleta mada hakuwa na dhana kama niliyokuwa nayo mimi.
Hivyo nimeona nipate mawazo kutoka kwenu wadau
Thread ya namna hii nilipata kuisoma humu Jf lakini mleta mada hakuwa na dhana kama niliyokuwa nayo mimi.
Hivyo nimeona nipate mawazo kutoka kwenu wadau