Yani hata kuuza vocha au maji safi hauwezi?? Unatuangusha wanaume wenzako!!
mwambie bwana halafu anataka kuoa,sijui watakula mawe?
Hapo sasa,mie nadhani anataka kua marioo sema kusema live kaona nomaaa!
my dia, Love can not bring food on the table. pata shughuli ya kufanya uwe na kipato ndo ufikirie kuoa.
Jamani kina dada/mama,mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 42,NAITAJI MKE lakini jamani sina ajira/kazi yoyote ile,yule mwanamke ambae atarizia na atakaekubaliana na hali hii tafadhali naomba tuwasiliane kwa email address ifuatayo mnyella@ovi.com
ukipata mke automatically utakuwa umepata kazi pia.
usihofu kuhusu kazi, mke ndiyo kazi yenyewe.
Endelea kutafuta uyo mke.
Mkuu kwani ni kazi ndiyo inaoa au wewe
Kitu si kina fanya kazi tafuta mchumba fanya process zingine kwa expirience yangu ukisubiri hadi upate kazi nzuri muda unasogea na naona age ya kuoa inakutupa mkono
Ukiendele kukaa single pengine hujishughulishi sana ila uliwa let's say family kazi utapata tu
Ahaaa jamani acheni kumshambulia huyo Mnyella,mm ninachomsifu amekuwa muwazi,ameeleza ukweli,kina dada wengi umu jf wanatuogopa sana wanaume kwa ajili ya uongo,utakuta mtu anajipaisha tu,mdada anapoteza muda mpaka hatua ya mwisho mdada anagundua ni muongo,kwaiyo Mnyella naona kaeleza ukweli tumpe moyo anaweza akapata na nyie madada huyu Mnyella kaeleza ukweli,mlitaka adanganye na baadae ujute,madada naomba mpongezeni sio wa kupotezeana muda,Mnyella mm nakupongeza umeweka kila kitu wazi na utapata,kwani wapo wanawake wanaopenda ukweli kuliko kuwa muongo,poa Mnyella utapata tu mzee!
Jamani kina dada/mama,mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 42,NAITAJI MKE lakini jamani sina ajira/kazi yoyote ile,yule mwanamke ambae atarizia na atakaekubaliana na hali hii tafadhali naomba tuwasiliane kwa email address ifuatayo mnyella@ovi.com