Ushauri kwa wanaotafuta wanawake humu Jf

Ushauri kwa wanaotafuta wanawake humu Jf

CHIEF JJ

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
1,075
Reaction score
358
Habari wana Jf,

Niliweka habari humu ndani kipindi cha nyuma nikiwa natafuta mke mwema na asiye na degree na nikaleta mlejesho kuwa nimeshampata, nimekaa na huyu mdada tukiwa tunachati hadi saa saba usiku na nikajitahidi tukaonana naye.

Siku moja akanipeleka kwake kumbe yule dada ni mke wa mtu na alikonipeleka alishapanga chumba kimoja mbali na kwake na sijui alipanga ni cha nini wakati ameolewa sasa yaliyonikuta mimi sipendi mwingine yamkute humu ndani.

1. Yule dada anatumia kile chumba alichopanga kama guest.

2. Mume wake akiondoka ndiko anakolala na midume mingine hata mimi nililala huko.

3. Mume wake ananitafuta baada ya kukuta picha zangu kwenye simu yake japo nimemuelekesa amedai nimpe million tatu ndiyo anisamehe.

4. Mume wake amesema nisipo mpa hiyo hela picha zangu ataziweka kwenye mitandao akinichafuwa yani hapa nawaza maana watu wanaonifahamu ni wengi japo hata mimi ninapicha nyingi tu huyo mdada.

Toka juzi huyo mdada nikimpigia simu anapokea mume wake nimejaribu hata saa nane usiku bado anapokea simu na kunitishia kuwa bado naendelea.

Sasa naombeni ushauri nimwambie huyo dada kwa kutumia E-Mail kuwa atoroke aje huku ninakokaa na mtoto wake au nimlipe tu hela huyo mume wake au niwapotezee japo mdada anajuwa ofisi ninayofanya kazi.

NAOMBENI USHAURI NIFANYEJE MIMI JAMANI
 
Hilo ni chezo aisee... Huyo dada na mumewe(kama ni mumewe kweli at all) wanafanya mchezo huo ili kujipatia pesa; Na sidhanim kama wewe ni mhanga wa kwanza, na inavyoonekana hutakuwa wa mwisho. Naona hiyo situation imekuwa staged kabisa na huyo dada na "mume" wake;Na hicho chumba wamekikodi kwa ajili hiyo purposely Na wanatumia JF and possibly other social medias kama chambo chao. Unachoweza kufanya
1.Taja ID ya huyo mdada humu ndani ili asije kurudia mchezo huo kwa mtu mwingine humu ndani,
2.Kwa sababu hakuna prove kwamba hukulala na huyo mdada(i hope hakukupiga picha za utupu mlivyokuwa wote 6*6) usitoe hiyo hela kwa sababu ukitoa hiyo pesa watakufanya benki yao, na watakusumbua sana na wala haitakuwa mwisho wa wewe kutoa pesa, bali mwanzo--I am sure hizo picha zako ulizomtumia huyo dada sio zile za "utupu" ni za kawaida, kwa hiyo hata in the worst case scenario wakizi release sidhani kama zitakuwa na effect kubwa.
Pole sana mkuu kwa haya unayoya face sasa.
 
Pole dear.. Binafsi naona kama vile wasije wakawa kwenye Crime Partners (Samahani nilipokukwaza). Isije kawa wote wako kwa njama moja . Why? Najiuliza why bado ana simu ya huyo Dada na Ku demand money ? Its like he is blackmail you . Either you give him the money or He will publicize you..

Nakushauri before hujampa hizo hela go report to the Police station and explain everything. Remember it wasn't your fault. You didn't know all these mess . Its not like you forced his wife to sleep with you ..No. His wife was the one created all this mess so her husband was suppose to deal with her and not you. Please involve law in this matter.. Some women are devil and Evil . Jamani you have already marry why you contacted a single man .. Shame on her . Aagghh I just don't understanding it at all. How can she do that? Brother worry about you for now and not her . She knew it what she was get inn to but you didn't know anything at the first place . If anything happen to her it will not be your fault at all. The Bible says the wage of the sin is Death ... Thanks..
 
They are not husband and wife but partners in crime. Kwahiyo huyo bwana anakutishia nyau hawezi kukufanya lolote. Mtengenezee mtego wa kumpa hizo pesa ili anapopokea anakamatwa na kuzirudisha.
Ila mkuu na wewe umekolea kwa bidada, pamoja na kujua kuwa mdada ni muuza K bado upo tu na unataka aje kwako duh. Chezea penzi
 
Duu Jf hapa,pole sana mimi yaliyonikuta yanafanana na haya,wazoefu watakushauri vizuri
 
Duu Jf hapa,pole sana mimi yaliyonikuta yanafanana na haya,wazoefu watakushauri vizuri

Kilikukuta nn? tupe mkanda iyoka..ili kukomesha we mzee wa million tatu taja ID ya huyo dada usipotaja ufai kuwa member wa jf nashauri moderator's wakunyofoe
 
Hilo ni chezo aisee... Huyo dada na mumewe(kama ni mumewe kweli at all) wanafanya mchezo huo ili kujipatia pesa; Na sidhanim kama wewe ni mhanga wa kwanza, na inavyoonekana hutakuwa wa mwisho. Naona hiyo situation imekuwa staged kabisa na huyo dada na "mume" wake;Na hicho chumba wamekikodi kwa ajili hiyo purposely Na wanatumia JF and possibly other social medias kama chambo chao. Unachoweza kufanya
1.Taja ID ya huyo mdada humu ndani ili asije kurudia mchezo huo kwa mtu mwingine humu ndani,
2.Kwa sababu hakuna prove kwamba hukulala na huyo mdada(i hope hakukupiga picha za utupu mlivyokuwa wote 6*6) usitoe hiyo hela kwa sababu ukitoa hiyo pesa watakufanya benki yao, na watakusumbua sana na wala haitakuwa mwisho wa wewe kutoa pesa, bali mwanzo--I am sure hizo picha zako ulizomtumia huyo dada sio zile za "utupu" ni za kawaida, kwa hiyo hata in the worst case scenario wakizi release sidhani kama zitakuwa na effect kubwa.
Pole sana mkuu kwa haya unayoya face sasa.

asante sana kwa ushauri ila picha ni za kawaida tuu wala siyo za utup
 
Kilikukuta nn? tupe mkanda iyoka..ili kukomesha we mzee wa million tatu taja ID ya huyo dada usipotaja ufai kuwa member wa jf nashauri moderator's wakunyofoe

ID ya huyu mdada taiweka hapa hadi picha zake taweka hapa
 
They are not husband and wife but partners in crime. Kwahiyo huyo bwana anakutishia nyau hawezi kukufanya lolote. Mtengenezee mtego wa kumpa hizo pesa ili anapopokea anakamatwa na kuzirudisha.
Ila mkuu na wewe umekolea kwa bidada, pamoja na kujua kuwa mdada ni muuza K bado upo tu na unataka aje kwako duh. Chezea penzi
yaani basi tuu mkuu
 
umeingizwa mjini mkuu,huyo ni changu na hiyo ndo michezo yao ya siku hizi huyo jamaa anajidai ni mumewe ili kukutisha utoe mzigo huo wakagawane,we hujiulizi kugongewa mke inavyouma iweje jamaa apate nguvu za kudai million tatu badala ya kuandika talaka,HOPE ULITUMIA KINGA ULIPOLALA HUKO OTHERWISE UNA MISIBA MIWILI HAPO.

habari wana jf
Niliweka bandiko humu ndani kipindi cha nyuma nikiwa natafuta mke mwema na asiye na degree na nikaleta mlejesho kuwa nimeshampata,,,nimekaa na huyu mdada tukiwa tunachati hadi saa saba usiku na nikajitahidi tukaonana naye siku moja akanipeleka kwake kumbe yule dada ni mke wa mtu na alikonipeleka alishapanga chumba kimoja mbali na kwake na sijui alipanga ni cha nini wakati ameolewa sasa yaliyonikuta mimi sipendi mwingine yamkute humu ndani
1.yule dada anatumia kile chumba alichopanga kama guest
2.mume wake akiondoka ndiko anakolala na midume mingine hata mimi nililala huko
3.mume wake ananitafuta baada ya kukuta picha zangu kwenye simu yake japo nimemuelekesa amedai nimpe million tatu ndiyo anisamehe
4. mume wake amesema nisipo mpa hiyo hela picha zangu ataziweka kwenye mitandao akinichafuwa yani hapa nawaza maana watu wanaonifahamu ni wengi japo hata mimi ninapicha nyingi tu huyo mdada
...Toka juzi huyo mdada nikimpigia cm anapokea mume wake nimejaribu hata saa nane usiku bado anapokea cm na kunitishia kuwa bado naendelea
SASA NAOMBENI USHAURI NIMWAMBIE HUYO DADA KWAKUTUMIA E-Mail kuwa atoroke aje huku ninakokaa na mtoto wake au nimlipe tu hela huyo mume wake au niwapotezee japo mdada anajuwa ofisi ninayofanya kazi
NAOMBENI USHAURI NIFANYEJE MIMI JAMANI
 
Baada ya kuweka tangazo hapa kuwa natafuta mke wa kuoa nilipata PM nyingi,nilianza kuwatafuta mmoja baada ya mwingine,mmojawapo tuliahidiana kuonana Ubungo,tukaonana pale tulikaa sehemu iliyotulia kwa mazungumzo,kiukweli mrembo ni mzuri,ni mweupe na shape ya Kibantu(hips za ukweli na maziwa ameyaweka vizuri)akaniambia anaishi Mlandizi,tukawa tunawasiliana kama mwezi hivi,siku1 nilimpigia simu akaniambia njoo Mlandizi na Ubachela wangu nikaenda kulala kwake,asubuhi akaniambia aliolewa na kuachika na ana mtoto1,mara simu zikipigwa anatoka nje kuongea,mchana nikarudi kwangu,kazini sikwenda kabisa,Hapa Jf shida japo nilifaidi,,wengine kama sita hivi kutoka hapa Jf wana watoto,sura kama wanapuliza moto,wameachika na wanasaka wachumba humu,,kwaheri
 
Pole sana mkuu.....ila hapo kuna mchezo unachezewa, usikubali kulipa hiyo hela kabisa!
 
Mimi huwa naamini kila mtanzania ni Jasusi hata kama huna mafunzo rasmi, unaweza kumsoma mtu na kumtambua kwa macho yake, sura yake, umbo lake, ongea yake, majibu yake, na ishara mbali mbali....anyway...weka ID yake hapa.
 
Usilipe hiyo milion 3, afanye anachotaka.
Akikuchafua kwenye magazeti kafungue kesi mahakamani.
Udai fidia kwa kuchafuliwa.
 
Habari wana Jf,

Niliweka habari humu ndani kipindi cha nyuma nikiwa natafuta mke mwema na asiye na degree na nikaleta mlejesho kuwa nimeshampata, nimekaa na huyu mdada tukiwa tunachati hadi saa saba usiku na nikajitahidi tukaonana naye.

Siku moja akanipeleka kwake kumbe yule dada ni mke wa mtu na alikonipeleka alishapanga chumba kimoja mbali na kwake na sijui alipanga ni cha nini wakati ameolewa sasa yaliyonikuta mimi sipendi mwingine yamkute humu ndani.

1. Yule dada anatumia kile chumba alichopanga kama guest.

2. Mume wake akiondoka ndiko anakolala na midume mingine hata mimi nililala huko.

3. Mume wake ananitafuta baada ya kukuta picha zangu kwenye simu yake japo nimemuelekesa amedai nimpe million tatu ndiyo anisamehe.

4. Mume wake amesema nisipo mpa hiyo hela picha zangu ataziweka kwenye mitandao akinichafuwa yani hapa nawaza maana watu wanaonifahamu ni wengi japo hata mimi ninapicha nyingi tu huyo mdada.

Toka juzi huyo mdada nikimpigia simu anapokea mume wake nimejaribu hata saa nane usiku bado anapokea simu na kunitishia kuwa bado naendelea.

Sasa naombeni ushauri nimwambie huyo dada kwa kutumia E-Mail kuwa atoroke aje huku ninakokaa na mtoto wake au nimlipe tu hela huyo mume wake au niwapotezee japo mdada anajuwa ofisi ninayofanya kazi.

NAOMBENI USHAURI NIFANYEJE MIMI JAMANI

Pole sana mkubwa cha msingi wewe usimplipe hela bless for the worst and wait for it to happen........ Usimtumie hela inawezekana huo ndio mchezo wao wa kujiingizia pesa ....mjini hapa
 
Back
Top Bottom