Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Umri wangu ni miaka 32, natafuta mke wa kuoa mwenye umri kati ya miaka 21 hadi 25 awe mcha Mungu, awe na adabu njema pia awe mtulivu. Nina uhitaji kweli kweli. Kwa yule atakayekuwa tayari...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina mpenzi wangu anayeshi na wazazi wake, tulidumu nae kwa muda wa miezi kumi(10) hadi sasa. Kwa sasa nipo mbali nae kwa muda wa miezi mitatu ila huwa tunawasiliana kupitia simu, pia tulipanga...
0 Reactions
111 Replies
14K Views
Nimewaza jinsi ilivyo hatari kwa rubani kutua ndege kwenye uwanja bila kujua jiografia yake nikarelate na kufunga ndoa na mtu bila kumjua 'jiografia yake'. Mwenye majibu yanayoendana na maadili ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Natafuta mke aliyeko morogoro na awe mkristo na mweupe wa kuishi naye. kama uko serious mengi tutayazungumza private.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mimi ni mtu wa umri wa kati ninayetafuta mchumba/mke anayejitambua kama unajitambua ni pm tufahamiane uwe mke wangu.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hiv inakuaje ww mwanaume una mpenz wko mnapendana yan unampenda nayy anakupenda. kpindi hicho mapenz ni mazur sana afu ww huna kaz na huna pesa za kutosha kujimudu nyote. mungu sio athuman...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Mimi nafanyakazi yakujiajiri, nipo Dar nahitaji mchumba wakuoa.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Acha mapenzi yaitwe mapenzi..miaka ya tisiini huko ilikua mtu akikutana mpenzi wake wanashikanana shikana kidogo wanaanza game..walikua hawajali sana mambo ya maromance wala nn...ila kwa wakati wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakubwa mambo vp.. Embana watu wanasema wanaumesiku hizi tumepungukiwa sana uwezo wa kufanya tendo.. Mimi binafsi sijajua ukweli wa utafiti huo. Nayasema haya kutoka na vitu ninavyokutana navyo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wana jamvi!!! Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka30 natafuta mchumba. Vigezo na masharti sina.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanawake wengi wamekuwa wakiweka zaidi hisia zao kwenye mitandao ya kijamii, tofauti na wanaume ambao mara nyingi hukaa nayo tu moyoni mambo yao. Kupitia status za whatsapp unaweza kufahamu...
8 Reactions
43 Replies
14K Views
Duh! poleni dadazetu kwa kupenda kuishi maisha ya Maria Sarapova while nyie chokest tu! wengine waliozaliwa vijijini mmmmmh! ndio usiseme! hata kutaja kwao hawataki na wanajifanya hawapandi...
3 Reactions
65 Replies
7K Views
Katika upekuzi wangu nimeona wanaume na wanawake wenye Macho makubwa huvutia sana katika mahusiano ya kimapenzi. Swali hii inahusiana na hisia gani katika Mapenzi maana wengi huwa ni viwembe na...
0 Reactions
60 Replies
29K Views
Habarini! Naomba mnisaidie kwa hili jambo,nina boyfriend namheshimu nakumpenda sana nae ananipenda sana.Tatizo linaloniumiza kichwa huyu mwenzangu kama wiki mbili / tatu ivi amechange sana...
1 Reactions
100 Replies
13K Views
Habarini za weekend wandugu wapendwaaa? Naomba tupanuane mawazo katika jambo hili. Mara nyingi watu hutendwa katika mahusiano yaweza kuwa mahusiano ya mke...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Kama kuna mwanamke umekuwa ukimfukuzia kwa muda mrefu na amekuwa akikusumbua na unafahamu fika mwanamke huyo anapenda pesa basi zingatia hili. Tarehe nzuri kutongoza ni kuanzia tarehe 13 mpaka...
3 Reactions
37 Replies
11K Views
Naamini mchumba anapatikana popote pale iwe sokoni, kanisani, kwenye social network n.k Mimi ni kijana mtanzania, ni mkristo, nina elimu ya shahada n pia ni muajiriwa... natafuta rafiki wa...
0 Reactions
0 Replies
784 Views
Kuna jamaa mmoja si rafiki ki vile lakini kutokana na shughuli za kazi tunakutana mara kwa mara. Jamaa ana position nzuri tu kwenye shirika moja la umma hapa nchini. Na kutokana na nafasi yake...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
​ In a new study, researchers found Women endure more emotional pain when a relationship ends but once recovered, they could be in better shape than their former other halves. According...
3 Reactions
52 Replies
53K Views
Wana JF, ninawasalimu wote. Nina rafiki yangu anayetaka niwe mshenga wake wa kihaya. Mimi umri wangu wa ki-dot com. na nimekulia mjini. ninapungikiwa maneno hasa yale wanayoyatumia siku hiyo ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom