Ushauri: Jamaa anapesa nyingi ila anatumia vibaya

iMind

Platinum Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
3,214
Reaction score
5,478
Kuna jamaa mmoja si rafiki ki vile lakini kutokana na shughuli za kazi tunakutana mara kwa mara. Jamaa ana position nzuri tu kwenye shirika moja la umma hapa nchini. Na kutokana na nafasi yake huwa anatupa tender za hapa na pale. Siyo kwamba anatupendelea kivile kutupa tender lakini profile yetu imesimama na kazi tunafanya kiuhakika. Kwenye hiu field yetu hapa bongo hatuna mshindani.

Sasa jamaa anapata hela sana. Lakini ni mtu wa starehe sana sana. Analala na wanawake kwenye hotel kubwa kubwa na kuwanunulia vitu vya thamani.

Familia yake inaishi maisha ya kawaida tu kwani mke wake anafanya kazi pia ingaw hapati hela kama mumewe.

Juzi jamaa kanipigia simu, kala starehe hakawa hana hela ya kulipa. Amekaa siku 3, nukaenda nikalipa 860,000 zilizokuwa zimebaki. J3 iliyofuata akatupa kazi ya 4m. Amekuwa na michezo kama hiyo.

Wasiwasi wangu ni kwamba kibarua kikiota majani huyu jamaa atatusumbua sana. Atatupa lawama zisizo stahili. Maana hawekezi chochote.

Una msaidiaje mtu wa namna hii.?
 
Kikiota nyasi hapo si atapata kingine,kwani hicho alikipataje,labda kama hanq sifa za kupata kingine na hocho alikipata komagumashi,vngnevyo acha aishi maisha yake.
 
mwambieni tu dunia ya sasa hakuna wa kumtegemea mwenzie ... shauri yake uzeeni lazima ajute
 
We umpaye ndio ---- kabisa. Unamlipia kwa lipi?? IDIOT!!! unataka ushauri gani sasa endelea kumlipia kila akilala na hao mademu SHENZYYYYYYY TYPE
 
Mkuu kuwa karibu nae muoneshe miradi ambayo anaweza fanya nje ya ofc. Kesho atakushukuru
 
Mtu kama huyo unamsaidia kwa kujali mambo yako, na kumuachia yake. Umeshasema sio rafiki, mnakutana kikazi. So, akipoteza kazi hamtakuwa na sababu ya kukutana tena.
 
Mkuu usijelalamika hapa next time utakapopre pay huo mlungula kama chambo ya kupewa tender bahati mbaya kesho yake huyo extravaganzer akawa demoted. Hilo ufanyalo ni hatari sana kwa sustainance ya hicho kikampuni chenu make km offer zenyewe ni za vijimilioni4 tu ni dhahiri bado mnajikongoja sana!!

Epuka rushwa mkuu ni adui wa haki na one day you gonna ruin your reputation kisa PR ya kishkaji.
 
Kuna jamaa mmoja si rafiki ki vile lakini kutokana na shughuli za kazi tunakutana mara kwa mara. Jamaa ana position nzuri tu kwenye shirika moja la umma hapa nchini. Na kutokana na nafasi yake huwa anatupa tender za hapa na pale. Siyo kwamba anatupendelea kivile kutupa tender lakini profile yetu imesimama na kazi tunafanya kiuhakika. Kwenye hiu field yetu hapa bongo hatuna mshindani.

Sasa jamaa anapata hela sana. Lakini ni mtu wa starehe sana sana. Analala na wanawake kwenye hotel kubwa kubwa na kuwanunulia vitu vya thamani.

Familia yake inaishi maisha ya kawaida tu kwani mke wake anafanya kazi pia ingaw hapati hela kama mumewe.

Juzi jamaa kanipigia simu, kala starehe hakawa hana hela ya kulipa. Amekaa siku 3, nukaenda nikalipa 860,000 zilizokuwa zimebaki. J3 iliyofuata akatupa kazi ya 4m. Amekuwa na michezo kama hiyo.

Wasiwasi wangu ni kwamba kibarua kikiota majani huyu jamaa atatusumbua sana. Atatupa lawama zisizo stahili. Maana hawekezi chochote.

Una msaidiaje mtu wa namna hii.?

mshauri asipokuelewa achana naye
 
Fanya naye kazi professionally! Mtu asiyejali familia Ana laana!
 
akikosa hicho lowasa atampa kingine
 
ukimshauri aache kutumia pesa, pesa itamkimbia. mwache atumie pesa yake kama atakavyo.
 
Mwache Mtu ale maisha yake.... We unafikir ye hana akili... Ndo maisha aliyoyachagua.

Tatizo wabongo mnataka tuwe na formula moja ya maisha. Eti unavoishi wewe ndo yeye aishi hivo. Hiyo sio sahihi.
 
Back
Top Bottom