geek jo
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 1,134
- 1,145
Wakubwa mambo vp.. Embana watu wanasema wanaumesiku hizi tumepungukiwa sana uwezo wa kufanya tendo.. Mimi binafsi sijajua ukweli wa utafiti huo.
Nayasema haya kutoka na vitu ninavyokutana navyo kwenye maisha ya kila siku.. Natumaini hata wewe unapitia hali hii..
Najua utaniuliza ni hali gani..
Ni hivi.. Unakuta umetoka kupiga gemu na mwanamke.. Labda kwenye hiyo gemu ukapiga bao zako mbili au moja na hamu ikakuisha kabisa na wala humtamani tena uliyeshiliki nae.. Lakini muda mchache tu utakapo toka eneo la tukio unaanzakutamani mizigo mingine unayokutana nayo huko nje..
Yaani mdadi unakuanza upya kama vile ujala ile kitu miezi kadhaa hivi wakati dakika kumi tu zilizopita umetoka kumchojoa mtu.
Swali linakuja.. Hali hii unajiweka kwenye kundi gani unanguvu sana au mchovu??