Mimi ni mwalimu nimeajiriwa na nina mwaka mmoja kazini, nilipangiwa shule moja kijijini yenye wanafunzi mchanganyiko wa kike na wakiume.
Kiukweli ualimu usipokua makini kufungwa ni nje nje...
Mimi ni mwanaume wa miaka 4, natafuta mke mwenye umri wa kuanzia miaka 40 na kuendelea,Tafadhali, nina nia ya dhati na ya kweli toka moyoni naitaji mke wa Maisha, mwanamke mwenye nia kama yangu...
1.Wenye Wivu.
2.Wanao somesha wanawake.
3.Wenye mapenzi ya dhati.
4.Wenyekutoa pesa nyingi bila kuombwa.
5.Wenye bashasha za mapenzi.
6.Wenye kupenda pasipo pendeka.
7.Wenye kupigapiga simu.
Nimeona matatizo ya mahusiano yazidi kuongezeka na nikakaa kutafakari shida iko wapi!Kwa mtazamo wangu, wanaume wengi wametangulia kuwajua wanawake wao kabla hawajawaelewa!
Ni vizuri kujua tabia...
Sura sio tatizo ila awe na makalio makubwa, asiwe bonge sana, awe maji ya kunde , na awe anapenda faragha kiasi nikirudi job tu nampa doziiii, awe tayari kufundishwa gari.
Namba za simu aweke...
Habari zenu wakuu,
Miezi miwili iliopita nimetengana na mwanamke wangu tuliopendana kwa musa mrefu kwa issue za uhaminifu, kama kawaida yao baada ya kuachana haikuchukua week akawa anatoka na...
Nimeusoma wibo huu na kuusikiliaza hakika LIONEL RICHIE aliimba.
Love can bring everything, love bring piece, hope, harmony. With love the world is the better place to live.
Spread love to the...
Naandika taarifa hii nikiwa tayari nimeshakasilishwa......
Ipo hivi......Mimi ni kijana wa kiume na fiancee wangu tunaishi maeneo ya tabata kinyerezi kwenye chumba cha kupanga(self contained). Hii...
Ikiwa imepita kama mwezi mmoja na nusu toka jamaa yangu mmoja aoe amepitia katika kipindi kigumu sana katika maisha haya ya muda mfupi ya ndoa yake.
Iko hivi ni ndugu yangu ambae niko nae mtaa...
Habari yako msomaji wa uzi huu,
Kuna tabia fulani kubwa sana kwetu sisi wanaume, mwanamke ukipishana nae barabarani lazimi mwanaume ageuke amwangalie mwanamke kwa nyuma.
Tujadili kwa pamoja...
Kuna binti mmoja, alinizoea nikamgegeda. Akasema imetokea bahati mbaya, na eti anayeampendae. Nikakaa mbali nae. Siku kadhaa tukakutana, kajiingiza kingi nikamgegeda tena.
Akaahidi, hiyo itakuwa...
Wadau,
Mara ya mwisho nilikuja kuomba ushauri juu ya mdogo wangu alietaka kuolewa na mission town na mimi kukataa thank god baadae binti alielewa na tukalikataa lile jamaa,kumbe jf ikitumika...
Naandika hii post kwa hisia nzito kwa watoto wa kike especially ambao wameshapevuka na wamevuka umri wa miaka 18.
Okay ni hivi destiny kwa kiswahili ni hatima au mwishoni.
Akina dada nawapenda...
Baada ya kusalitiwa na aliyekuwa mpenzi wangu nikaamua nikae alone kwa muda sasa, moyo umepona natamani sasa kupendwa na kupenda tena.
Natamani nimpate mdada nitakayempenda kweli naye anipende...
Wanaume naomba majibu kwenye hili, maana nimeona masela wengi wanang'ang'ana na bia bar kuliko wanavyong'ang'ana kuja na wake zao bar.
Siyo lazima mwanamke anywe ila ni vizuri akawa karibu yako...
Siku moja nilikuta watu wakibishana kama mapenzi yana hali ya upofu ama hapana. Wale waliokuwa wakiamini mapenzi yana upofu wanasema wanaamini hivyo kwa sababu mtu anayependa hata kama anayempenda...
Sasa ni zaidi ya miaka miwili toka niwe member wa hii forum. Kiujumla imenisaidia kupunguza stress maana vitu vya kuchekesha ni vingi na vya kusikitisha vichache.
Nimebahatika kuwafahamu uso kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.