Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,402
- 1,618
Wanawake wengi wamekuwa wakiweka zaidi hisia zao kwenye mitandao ya kijamii, tofauti na wanaume ambao mara nyingi hukaa nayo tu moyoni mambo yao.
Kupitia status za whatsapp unaweza kufahamu mwanamke yupo kwenye mood gani. Kuna aina za status ambazo huwa wanaweka, zipo za masomo, harusi nk lakini aina kuu za status ni mbili za ambazo wanawake hupenda kuweka:
1. Kuhusu maisha yake na rafiki zake
Aina hii ndipo utakutana na status kama"rafiki wa kweli ni mama tu"-ujue hapo katoka kugombana na rafiki zake"Si kila akucheae ni rafiki wa kweli"
2. Kuhusu uhusiano wake wa kimapenzi hapa ndipo unakutana na status kama
"Mapenzi ya kweli yalishaisha""Mungu hamuachi mja wake""Feel like crying""Can't stop the pain""How I wish you could know how I feel"
Wanawake huwa wanashindwa kuficha hisia zao, tofauti na wanaume status zao utakuta "battery low" "cant talk now whatsapp only" etc
Kama ulikuwa unamfukuzia huyo demu na alikuwa anakwambia ana mshikaji siku ukiona tu kaweka status ya kukata tamaa au kuhuzunisha ujue yamemkuta, we anza kujisogeza taratiiiiibu kumpa faraja.
Posted by: MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)