Natafuta rafiki wa kike, seriously

Natafuta rafiki wa kike, seriously

pondiboy

Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
81
Reaction score
29
Naamini mchumba anapatikana popote pale iwe sokoni, kanisani, kwenye social network n.k

Mimi ni kijana mtanzania, ni mkristo, nina elimu ya shahada n pia ni muajiriwa...

natafuta rafiki wa kike popote pale ambaye ikimpendeza Mungu atupeleke katika hatua nyingine kimaisha...
awe mkristo mwenye hofu ya hofu ya Mungu ndani yake, awe anajitambua, mwenye mawazo chanya, elimu yeyote, umri asizidi miaka 27, pia napenda asiwe mfupi awe na Upendo wa dhati.. kama upo na una sifa nipm
 
Back
Top Bottom