Habari wanajamii,
Natafuta marafk wa kike wanaopenda kuchat, kupeana kampani na kwenda out. Professionally nimesomea Information Technology, nimehitimu mwaka 2011. I am 28 years. Even older women...
Wana JF salaam.
Huu ni mpango madhubuti tulioupanga mimi na mpenzi wangu wa kujivinjari vilivyo katika kipindi chote cha kampeni za siasa. Hii ni kutokana na mpenzi wangu huyo kuwa ni geti kali...
Habari wana jamiiforum.
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka kati ya 20-25 hivi. Siku moja nilisitukia nimeingiza kwenye group moja la whatsapp (jina kapuni) pasipo mimi kuwa na taarifa...
Habari,
Kama wewe ni mdada mpweke naomba kampani yako, mimi nipo alone muda wotw ni mpweke saana nahitaji kampani yako please sichagui umri wala chochode! Mimi nina miaka 28.
Please in box...
Habari za kwenu wana jamii wenzangu.
Jamani nipo serious sana katika hili naomba kwa wew mdada uchukulie uzito unaposa uzi huu mizaha/utani weka pembeni.
Naomba...
1.jifunze kuweka akiba ya pesa na iache bila kuigusa
2. Tafuta mpenzi aliyetulia na anayekupenda na panga naye maisha
3. Usipende kukaa vijiwe ambavyo asilimia kubwa stori zao ni kuongelea...
Jamani,naomba mnijuze,maana naona kila mtu wangu wa karibu ana mpenzi hapa chuo!!hivi haya mapenzi yao huwa yanaendelea kuwepo hata baada ya kumaliza masomo na kufikia hadi kuoana au ni mbwembwe tu?
Juzi nilikuja na bandiko langu la wachumba zangu wawili ambalo mode wamelibadili na linasomeka (nimuoe yupi anaenipenda au ninaempenda)
Samahani sikuwasalimu hamjambo wote..! Mniwie radhi...
Hi Guys ,
So yesterday after work i and a couple of
colleagues decided to hang out , yeah i know , its
not even Friday but we chilled like that do not
worry , lol . After many conversations and...
Habari zenu,
Natumai ni wazima wa afya njema,mimi ni kijana nina umri wa kati ya miaka 30 hadi 37,nahitaji mke,kama una umri kuanzia huo hapo usisite kunitafuta au hata kama una zaidi ya hapo...
natafuta msichana wa kuchati nae awe na umri kuanzia miaka 17-20,dini cyo kigezo bt mkrixto ni xifa ya ziada,awe anapenda mabadiliko pia maendeleo tuweze kubadilixhana mawazo na awe mvumilivu...
Habari wanajamvi pendwa MMU,
Naomba niwashukuru wote mlionichangia ushauri kwenye kisa changu cha kweli "njia panda (nimuoe yupi anaenipenda au ninaempenda?) Jana ndio ilikuwa siku ya maamuzi...
Habari wanaJF,
Rafiki yangu anaomba mwangaza,.
Ni TAILOR aliajiriwa kampuni moja Dar, mpenziwe ni mwalimu Arusha, wameishi pamoja kwa 8 months, dada aka-conceive, akanyanyaswa aondoke...
Mambo ya kufanya ili usimchoke mke wako;
1. Kuwa na ratiba maalumu ya kufanya tendo la ndoa na sio vurugu vurugu au kila wakati.
2. Mpendezeshe mkeo kwa mavazi na chakula bora kwani atakuwa na...
Mimi ni mfanyabiashara maarufu wa kusafirisha magari kwenda nchi mbalimbali nje ya nchi natafuta mwenza wa kuishi nae awe mwanamke mrembo kati ya miaka 20 mpaka miaka 24.
Ambaye yuko tayari ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.