Zambavuni
Senior Member
- May 24, 2012
- 118
- 26
Wana JF, ninawasalimu wote.
Nina rafiki yangu anayetaka niwe mshenga wake wa kihaya. Mimi umri wangu wa ki-dot com. na nimekulia mjini. ninapungikiwa maneno hasa yale wanayoyatumia siku hiyo ya kujitambulisha. Kama kuna Mhaya anayeyajua tafadhali anielimishe. Samahani sitangazi ukabila ila mila na destri lazima zifuatwe. Haya nipeni maneno wahaya wa JF.