Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

​ In a new study, researchers found Women endure more emotional pain when a relationship ends but once recovered, they could be in better shape than their former other halves. According...
3 Reactions
52 Replies
53K Views
Wana JF, ninawasalimu wote. Nina rafiki yangu anayetaka niwe mshenga wake wa kihaya. Mimi umri wangu wa ki-dot com. na nimekulia mjini. ninapungikiwa maneno hasa yale wanayoyatumia siku hiyo ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Salaam, Nahisi ili jambo linahitaji ushauri . Kuna binti mmoja ninampenda, Nilianza kufahamiana naye miaka 5 iliyopita wakati tupo chuoni. Alionekana kama future wife kwa jinsi nilivyokuwa...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Kwa wenzengu furaha lakini kwangu nina nini maana kila nikijaribu kutafuta mchumba humu nakosa mpaka najiuliza kwani humu mnaenda kwa kujuana?
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Salaam, Ndugu zangu imebidi nilete kwenu hili swala maana kuna nyakati nakwazika nakujiskia kutotendewa haki. Kuna mdada ofisini ambaye kazi yake ni kuhudumia wafanyakazi k.v. chai, chakula cha...
4 Reactions
70 Replies
9K Views
Habari ndugu wanajukwaa, Poleni na majukumu. Nimshukuru Mungu kwa wakati huu. ninawashukuru pia ndugu mlio changia nakutoa mawazo yenu tofauti tofauti. Niwashukuru wote kwa ujumla zaidi sana...
5 Reactions
34 Replies
6K Views
Hi everybody, I went to mchepuko the other night. She said it's gonna be right there. But when we were at the 6×6 I was disappointed. All I could smell there was her genitals. All I could see...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kabla ya yote naombeni samahani kwa wanaume wa humu ndani ila kiukweli kuna wanaume wengine hawajielewi mtu kama unampenda i mean mnapendana wote akaona kabisa unakuheshimu,unakujali,unakuthamini...
1 Reactions
56 Replies
5K Views
Wakuu habari za siku nyingi, Nimepitishwa na chama changu kugombea ubunge jimbo fulani hapa Tz, nina imani kubwa nitashinda. Kama mjuavyo mimi ni mdau wa MMU na nina marafiki wengi humu...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamaa yangu amepata mtoto wa kiume jana. Hivi sasa wapo kwenye malumbano makali ambapo mme anataka amuite mtoto wao jina la baba yake (jina la babu wa mtoto) lakini mke hataki anasema mtoto aitwe...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari wana Jf, Jamani kuna kimsemo kinasema "ukitaka kufurahia ndoa tafuta mtu anayekupenda sio unaempenda wewe" Hivi inakuwaje ikiwa mtu una rafiki ambaye anakujali kwa kila kitu...
0 Reactions
45 Replies
7K Views
ni pm Please... nipo MBEYA
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanaumeee: Elfu kumi utakayompa mama au mpenzi vinatofautiana thamani nafsini!!. Huu ni ukweli usiopingika kwa watoto wa mjini tunajua ,wewe jaribu tu kuhonga vihela mbuzi kwa GF,mpenzi etc...
47 Reactions
186 Replies
14K Views
Tabu Ley Rochereau One day I thought I dreamed as though I was sleeping Ah mama ha The day that I will die The day that I will die who will mourn I will not know Let me foresee it Will I die in I...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanajamii kama siyo kuirudisha hii hoja basi naomba msaada katika hili. Ni kwa nini pete yando huvaliwa mkono wa kushoto kidole chapili kutoka cha mwisho?? Lugha yaweza ikawa kikwazo lakini...
0 Reactions
14 Replies
8K Views
Boys and girls
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Mu hali gani wanajukwaa? Nahisi ukisoma title ya hii thread kidogo utastuka, lakin ukweli ni kwamba;Niliamua kumkandia [kumharibia] rafiki yangu kwa msichana wake ili mimi nimpate, na nilifanya...
1 Reactions
119 Replies
14K Views
Hii kitu nimekuwa nikiishuhudia sana katika familia nyingi tu na mbalimbali lakini hasa hasa huku kwetu Barani Afrika ambapo utakuta familia ina watoto watatu au watano lakini kuna mtoto mmoja au...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Rejea kichwa cha somo husika hapo juu Kwa muktasari tu ni kwamba kuna mwanamke mmoja aliniomba kampani tuishi wote yaani nihamie kwake, baadae kodi imefika akadai tuchangie Nimegoma na Nina hama...
7 Reactions
63 Replies
7K Views
Back
Top Bottom