ragin
JF-Expert Member
- Feb 9, 2015
- 7,391
- 9,386
Habarini!
Naomba mnisaidie kwa hili jambo,nina boyfriend namheshimu nakumpenda sana nae ananipenda sana.Tatizo linaloniumiza kichwa huyu mwenzangu kama wiki mbili / tatu ivi amechange sana.
Hapigi simu, wala hatext msg ni mpaka nianze mimi si ivo tu hata mambo mengine tunaweza kujadili yakaishia hapohapo na hata nikitaka jinsi ya kuanza kumshauri namna ya kuweka maandalizi ya familia na mengineyo nakosa the way to start talking acording to his silent.
Na endapo nikikausha kama wiki ivi nae anakuwa kimya kupitiliza, usiku ataiona msg yangu kama ni usiku sana ataizima simu yake mpaka kesho yake saa sita/tano asubuhi napo hajibu mpaka nimtext papo hapo, nikimuuliza kwanini mambo yanachange sana anadai yupo busy na akiwa free ndo anajipumzisha yani anakuwa amechoka sana.
Nikiomba tuonane yaani hapo ndo haitabiriki/ uwezekano mdogo sana wa kuonana it means hatuwezi onana,ifahamike tupo mikoa tofauti kumiss kupo kwingi sana even face to face, sasa sijielewi jamani nianze kushuka taratibu nijitoe au tu nifanyaje maana naogopa kukuza mapenzi yakomae alafu nikaachwe hapo baadae.
Mbaya zaidi nimetoka kwa watu wawili wa nyuma nao waliniumiza sana adi sasa hivi nakuwa mguu mmoja nje mwingine ndani kwa kuogopa kujeruhiwa nisaidieni kwani nimefikia maamuzi magumu ya kuishi single life mpaka pale parapanda itapolia, ushauri wako utaniweka pazuri.
Asanteni