MrishoKafir
Member
- Aug 5, 2015
- 25
- 2
Hiv inakuaje ww mwanaume una mpenz wko mnapendana yan unampenda nayy anakupenda. kpindi hicho mapenz ni mazur sana afu ww huna kaz na huna pesa za kutosha kujimudu nyote.
mungu sio athuman unapata kaz na pesa znaanza kuja,yale mloyataman mnaanza kuyapata,cha kushangaza mpenz wako anakuacha wakat kpind cha ukame alivumilia na akakupenda leo hii unayopesa anakukimbia,
hvi apo utasema nini au hali hii usababishwa na nini?